Search results

  1. king suleman

    Nauliza kuhusu Ajira mpya zilizotangazwa Aprili 12, 2022

    Habarini wakuu, Sijui ni wasi wasi wangu wa Ajira (wenge ) au ni nini, mbona nimesikiliza mala kadhaa mh Jenista Mhagama sioni aseme tunaombaje hizo Ajira , au nisubiri utaratibu utatangazwa? Maana nimeandaa kila kitu almost 98% nasubiri nipewe anuani tu. Nawasilisha
  2. king suleman

    Mediam school for Germany or French

    Habari wadau wangu , naomba kujua jina la shule hapa Tanzania inayofundisha ki jeruman au kifaransa nataka mwanang akasemee hapo mwakani nadhamiria ajue lugha mbili kijeruman na kingereza au kifansa na kingereza , Asante
  3. king suleman

    Kwa waliochaguliwa au wanaokifahamu chuo Clinical Medicine, Tabora Institute - Nzega

    Habarini wanajamvi, Huu ni mtandao bora sana kwangu since I joined , hapa huwa napata nondo sana. juzi kuna mtu alianzisha topic kuhusu kuto kuona majina ya walio chaguliwa diploma, Mimi ni mmoja wao, kwa msaada wa members na mmoja wao ni MANJIS wamenisaidia kwa ushauli, na sasa nimechaguliwa...
  4. king suleman

    MUNGU Amejibu maombi yangu.

    Wasalaam. Nianze na kumshuru m/mungu mana nilichokua nakitaka nimekipata, miez kadhaa ilopita nilileta uzi apa nikitaji cd au dvd kwa masomo ya o level . Juz nimeckia clauds kuna mwl katangaza ana dvd za masomo ya o level pia anatafuta walimu wa kusaidiana nao kaz . Nimechukua no yake...
  5. king suleman

    Je, namba zinazoandikwa nyuma ya jezi za wachezaji zina maana gani?

    Habari wana jamvi, najua kuna jukwaa la sport ila pia lakin umu wanaolitembelea hili jukwaa ni wengi , nna swali huwa linanitatiza sana , wachezaji huwa wanapewa no nyuma ya jez 1-11 lakini kuna wengine wanapata namba zaidi ya 11 mfano wachezaji wa simba, kichuya ana 25 , manula ana jez no 28...
  6. king suleman

    Nielekezeni jinsi ya kufika Morogoro, Nanenane kwa mzungu peku peku

    Habari Wana jamvi , hv juz nilileta uzi umu kuhusu mdogo wangu anaetaka kurisit nashukuru kuna walionishauli point sana, leo nimekuja kuuliza kama kuna mtu anapajua morogoro , maeneo ya nane nane wanapaita kwa mzungu peku peku pale kuna kituo cha kurisit nasikia wanabweni kabisa ninaomba mwenye...
  7. king suleman

    Wana JF Naombeni mpitie hapa kwa msaada zaidi

    Habarini wana jf , Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili; 1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke 2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia...
  8. king suleman

    Fursa 2017anzia sokoni

    Wasalam jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na semina na ujasilia mali iwepo Jana sikutoka kama nilivyoenda kuna vitu nilivipata na nikiviweka kwenye...
  9. king suleman

    Eco Bando Na Pangua Pangua

    Za Jioni Wakuu,, Naona Tunaotumia Internet Tumeanza Kupewa Ahueni Maana Voda Na Halotel Wamezindua Vifurushi Vipya Vya Mb Na Dakika Na Kwa Jinsi Nilivosikia Cha Halotel Kipo Poa Sana Ingawa Kwa Mimi Bado Sijavitumia Naomba Kupata Maoni Yenu Kwa Yeyote Alie Tumia Hivi Vililushi Hivi Vipya
  10. king suleman

    Msaada kwenye tuta

    Wadau za jion Nimeomba ajira some where kwa mtandao hapa nasubili kuitwa kwa interview ,kwenye tangazo la kaz wamesema salary ni TGHS A naomba kujua hicho ni kiasi gani cha mshahara Asante
  11. king suleman

    Ni namna ipi unaweza kuwa Mkalimani?

    Habari za leo Wana Jjf, Nina jambo ninaomba niwashirikishe naamini mtanisaidia. Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form four 2009 ila alifeli hakupata hadta D moja. Mambo ya hapa na pale hakujiendeleza, na nahisi hapendelei kusoma. Anachotaka yeye ni ku resit kwa kusoma mwaka mmoja kwa masomo ya...
  12. king suleman

    Naomba kufahamu wasifu wa Dr. Reginald Mengi

    Habari wanaJF Sorry, Hivi Mheshimiwa Reginald Mengi ana elimu gani? Yaani mwenye summary kuhusu elimu yake anijuze coz nasikia wanamwita Dr, sasa najiuliza kwa nini Serikalini hana cheo (simdharau). Nahisi angekua na nyazifa fulani pale mjengoni angesaidia Watanzania toka hatua moja hadi...
  13. king suleman

    Nifanyeje ili nipungue uzito ?

    Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi, Hapa...
  14. king suleman

    Hi ndo hali halisi jaman

    Wakati benk moja inavamiwa nikapga 112, nikajibiwa karibu jeshi la POLICE TZ kitengo cha dharura for kiswahili bonyeza 1 for engl pres 2 Nikabonyeza 1 Saut Ikasema Kwa Ajari Za Barabaran Au Moto Bonyeza 1 Kwa Ujambaz Bonyeza 2 Nikabonyeza 2 Sauti Ikasema Tena, Kama Majambaz Wana panga, Lungu...
  15. king suleman

    Me ni mshabiki damu wa Chelsea

    ctanii nime watch the match from ziro min to 9oth min kikos chetu chelsea wamecheza 12 pamoja na refa yan TUMEBEBWA KUNA anaebisha
  16. king suleman

    Swali letu la kipima joto

    Habari wana JF, mie nna swali inawezekani limeshawahi kujitokeza ila me toka nimeijui JF cjawah lisikia ni hivi nianze kwa wadada kipi bora kati ya haya kuzunguka sana na bahasha kutafuta kazi bila mafanikio lakini huna shida kwenye maswala ya mahusiano yan unapendwa na kila mwanaume yan hadi...
  17. king suleman

    Msaada: Shirika la AMREF

    AMREF habarin wandugu me nna shida na hili shirika nackia huwa wanafadhili wanafunzia wa vyuo vya afya sa kwa anayejua taratibu za kufadhiliwa na vigezo anavyotakiwa kua navyo mwanafunz au kwa ni shilika gan au kitengo kinaweza kutusaidia nawakilisha
  18. king suleman

    Naomba mnieleweshe Aflabet za kirumi

    Wana jf mamb vp habar za weekend jaman me nna shida ya kujua alfabet za kirumi yani nilikua nazijuaga ila nilisahau nataka kujua kuzitumia kwenye note book yangu coz kuna vitu vya siri huwa naandika ila watu/marafiki wa karibu wakipekua pekua wanasoma na mim huwa sipendi vitu vingine ni siri...
  19. king suleman

    Nashindwa kustahimili hizi tabia, Ushauri wako ni muhimu sana

    Habari wanajamvi. Mimi nina matatizo kama mawili yananitatiza nashindwa kuacha. Tatizo la kwanza, nina usingizi kupita kiasi yaani nawahi kulala ila nachelewa kuamka na hata nikienda darasani bado nasinzia. Kwenye discussion simalizi dakika 5 nasinzia na toka nipo o level nilikuwa hivi...
  20. king suleman

    Kwa walioangalia kipindi cha uswazi EATV

    Leo nimengalia hiki kipindi kinasaidia watu sana pale nimeona watoto wawili ------------ willing chair ni walemavu wa miguu. Hizoo pesa zimetokana na watazamaji karibia laki 9 kwa baiskeli zote mbili. Imenigusa sana kifupi natoa wito kwa wanaJF kwamba ukikutana na mtu anayeomba msaada kama...
Back
Top Bottom