Kwa waliochaguliwa au wanaokifahamu chuo Clinical Medicine, Tabora Institute - Nzega

king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,749
1,148
Habarini wanajamvi,

Huu ni mtandao bora sana kwangu since I joined , hapa huwa napata nondo sana.

juzi kuna mtu alianzisha topic kuhusu kuto kuona majina ya walio chaguliwa diploma, Mimi ni mmoja wao, kwa msaada wa members na mmoja wao ni MANJIS wamenisaidia kwa ushauli, na sasa nimechaguliwa chuo cha clinical medicine Tabora nzega ni cha private, nimepewa fom nimesoma lakini naomba kupata A,B,C kuhusu kile chuo , kama kuna mtu upo humu au una ndugu yako yupo pale au amewahi pitia pale, naomba kujua zaidi kuhusu chuo, changamoto za pale, na mazingira kwa ujumla.

Asante
Nawasilisha
 
Nenda Mkuu Nzega pazuri, lkn ndio wilaya inayoongoza kuwa na ukimwi katika mkoa wa Tabora, Nzega nimesomea pale form one mpaka form four, pia nandugu zangu wengi pale ,kiufupi Nzega nisawa nanyumbani . Pako vizuri, hali yahewa nzuri, maisha sio gharama kabisa, pia nibaadhi ya wilaya mojawapo yenye mzunguko mzuri wa pesa.

Karibia sana Nzega hakika hutojuta.
 
Thanks a lot
 
Back
Top Bottom