Me ni mshabiki damu wa Chelsea

Me ni mshabiki damu wa Chelsea

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1,749
Reaction score
1,153
ctanii nime watch the match from ziro min to 9oth min kikos chetu chelsea wamecheza 12 pamoja na refa yan TUMEBEBWA KUNA anaebisha
 
Wacha ushoga we man united hakuna kubebwa huko. Chelsea tuko vizuri ilitakiwa tuwe tumeshafunga tano bila.
 
Wacha ushoga we man united hakuna kubebwa huko. Chelsea tuko vizuri ilitakiwa tuwe tumeshafunga tano bila.

me mwenyw chls dam ila naangalia haki ndo mana ckutaka kusemea ukumbini ingawaje nilishangilia ile red card ila am so happy
 
me mwenyw chls dam ila naangalia haki ndo mana ckutaka kusemea ukumbini ingawaje nilishangilia ile red card ila am so happy

tutolee upuzi wako hapa unataka kutuletea uumamluki wako hapa! tunakujua wewe ni Man U.
 
Back
Top Bottom