Search results

  1. M

    Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  2. M

    TANESCO mbona mnatufanyia hivi hapa Bunda?

    TANESCO mbona mnatukatia umeme mda huu wa usiku? Kwani tatizo ni nini? Hata taarifa ya habari ya saa mbili leo hatuuoni.
  3. M

    Macca

  4. M

    Kikao cha bodaboda na DC Bunda

    Hiki kilikuwa ni kikao cha bodaboda na mkuu wa wilaya ya Bunda mh. Mirumbe pamoja na Wana PPF, BIMA na polisi. Kikao hiki kilihudhuriwa na bodaboda zaidi ya 200 katika ukumbi wa halmashauri. Lengo kuu lilikuwa ni kuwaomba bodaboda kujitokeza na kujiunga na mfuko wa PPF ili waweze kuchangia sh...
  5. M

    Hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda ni chafu balaa.

    Uchafu uliopo hapa hospitalini unatisha sana. Vyoo vyenyewe hutamani kuingiapo kutokana na hali mbaya ya uchafu. Yaani mikojo, Mavi na maji machafu yametapakaa hadi kinyaa. Haya yote yanafanyika na uongozi mzima wa hospitali upo bila kuchukua hatua yoyote ya kufanya usafi. Pamoja na hayo pia...
  6. M

    Hospitali ya Manyamanyama wanauza damu

    Wafanyakazi wa hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda mkoa wa Mara wanauza damu na wakati huo unaambiwa kutoa damu. Swali, kama ndugu wa mgonjwa anatoa damu kwa nini tena atozwe sh. 5,000 ya damu kila mfuko?
  7. M

    PARKING ZA BODABODA ENEO LA HOSPITALI NI KERO

    Katika hispitali ya Manyamanyama wilaya ya Bunda kuna bodaboda wanapaki eneo la hospitali kwa ajili ya kujitafutia riziki. Lakini sasa wanafujo maana wanakimbilia wateja na kupiga resi hovyo hovyo bila kujali kuwa ni eneo la hospitali ambapo kuna wagonjwa wa maradhi mbalimbali.. Jambo hili...
  8. M

    Slaa akosoa uteuzi wakuu wa mkoa

    Dar es Salaam Mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyotangazwa juzi na Rais Jakaya Kikwete yametajwa kuwa na malengo ya kisiasa, huku Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa akikosoa kitendo cha kuhamishwa vituo vya kazi wakuu hao sita ndani ya mwezi mmoja, kwamba ni gharama kwa Serikali...
  9. M

    Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni...
  10. M

    Maadili ya Tanzania yanazidi kuporomoka

    Nashindwa kuelewa kama vyombo vya kurusha matangazo ndo vinachochea kuporomoka kwa maadili. Mda huu wa saa 8 STAR TV inarusha miziki ya wachezaji walioko nusu uchi. Kwa hali hii wanafundisha nini katika jamii? Serikali nayo inaona na imeridhika. Hivi tunaenda wapi?
  11. M

    Kama ingekuwa wewe ndo mzazi ungemjibu nini mwanao?

    Mtoto anawauliza wazaz wake. hivi Baba na Mama mnaweza kutoa gari na kumpa house girl? WAZAZI wanajibu Gari le2 lina thamani sana hatuwez kumpa. MTOTO tena, Je mwaweza kumpa hause girl ATM kad pamoja na password? WAZAZI AHA...! Hatuwezi anaweza kuiba fedha zote halafu tukawa maskini pesa...
  12. M

    Hospitali ya BUGANDO imekuwa kero

    Hospitali ya Bugando ni kero sana kwa sasa maana manesi na madaktari hawajali hata wagonjwa wenye hali mbaya kupewa huduma za haraka. Nasema hivi kwa sababu wagonjwa wanaopewa rufaa kwenda Bugando wakiwa na hali mbaya wanakaa zaidi ya masaa matatu bila hata kupewa huduma wakati huyo mgonjwa...
  13. M

    JWTZ Mwanza walaani vitendo vya ukatili dhidi ya watoto

    Johanes Emanuel na Chritina Mwambola ambao ni maafisa ustawi wa jamii wamesema watu wasifumbie macho jambo hilo ili kuweza kudhibiti vitendo hivyo.
  14. M

    Dr. Mengi atangaza zawadi ya ml.10

    Mengi amesema atakayesaidia kukamatwa kwa waliomkata mkono Albino wa Tabora atamzawadia sh.10,000,000. Lakini pamoja na hayo, wengine wa mauaji ya hapo awali wamewahi kukamatwa na baadae kuachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kuthibitisha hilo.
  15. M

    Askari polisi wanadhalilisha jeshi la polisi

    Askari polisi mmoja nimemkuta anakunywa pombe amevaa @Uniform yaani magwanda akiwa baani na tayari amelewa akiwa na askari mwenzie mmoja aliyevaa kiraia na baadhi ya raia pia wakiwepo wanakunywa.Askari huyo ana √√ mbili begani. Je, hii ni halali kwa askari wetu kufanya hivyo?
  16. M

    Kwa kweli inaboa sana

    KWA KWELI INABOA pale unatarajia ukitoka kazini upokewe kwa kumbatio na busu tamu shavuni afu unakuta wanafiki wamesha mwaga unafiki kwa mkeo. KWA KWELI INABOA saa ya kula chakula limtu liachia ushuzi ile silent afu dingi anaku mind wewe ndie uliye jamba kumbe siye. KWA KWELI INABOA...
  17. M

    Kwa nini CCM inafanya hivi?

    CCM inanishangaza sana ninapowaona wazee waliozeeka ambapo hata wakiongea wanatetemeka wakati vijana wapo. Hao wazee wana mda mrefu serikalini na serikali ya CCM inaendelea kuwapa vyeo vikuu serikalini. Mfano wa hao wazee ni makamu wa rais mh. gharib_Bilal. Nimemuona akizungumza kwenye taarifa...
  18. M

    Serikali kutowajali waalimu sio busara

    Nasikitika sana kuona waalimu wakilalamika kila kukicha kuwa mishahara wanapewa kidogo ukithamanisha na kazi ngumu wanayoifanya tena wengine katika mazingira magumu tena hatarishi sana. Serikali inathubutu kuwalipa wabunge posho kubwa kwa siku ambayo ni mshahara wa mtu mmoja hadi wawili kwa...
  19. M

    Zakaria air bus yaua Sirari

    Kuna taarifa kuwa basi la Zakaria limeua watu 5 na wengine kadhaa kujeruhiwa huko Sirari ikiwa inatokea Sirari kwenda Mwanza leo asubuhi. Mwenye taarifa kamili atujuze.
  20. M

    Kikosi cha Zima moto sio Zima moto bali zima Moshi

    Kikosi cha zima moto bora kiitwe kikosi cha zima moshi maana nyumba za watu huungua kila leo lakini mafanikio yatokanayo na zima moto hayapatikani maana hawafiki kwa wakati na hatimaye wakifika wanakuta nyumba tayari imeishaungua na badala yake wanazima moshi. Kwa hali hii, sioni sababu hasa ya...
Back
Top Bottom