Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

Muwazi

JF-Expert Member
May 16, 2014
355
225
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".
 
Fabys

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
284
225
Kuwa mzalendo acha ushabiki wa vyama. Si UKAWA ni maslahi ya Taifa ndo yanalindwa hapa
 
karekwachuza

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
999
1,500
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".

pumbavu wewe huna akili.watu wa na mawaziri mbalimbali wanatetea upuuzi wakati watu wameiba kwanini wasfukuzwe na kufunguliwa mashtaka?ccm mmezoea kulindana kuwajibika hamtaki.big up mbowe
 
Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,031
2,000
We ni mjinga sana. Tena hao ukawa walichelewa kuliona hilo, kwani maazimio hayo yalikuwa haramu. Toka lini mhalifu akashiriki kujipangia hukumu? Serikali ni mharifu namba1 sasa inakuwaje ajipangie hukumu? Je hukumu itakuwa ya haki? Jana bunge lilitindikiwa kabisa.
 
GJHariohay

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
1,039
2,000
Wewe ni mpumbavu na mwizi tu kama wezi wengine afu usituletee njaa zako hapa pumbavu
 
Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,559
2,000
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".

Bado mnaendeleza ujinga wakati Mh. Mwandosya alisema kuwa "Nchi imedhalilika bunge limepata aibu imefika wakati wa kuchukua maamuzi magumu ili kurejesha hadhi ya taifa, bunge na CCM". Huyo ni waziri wa nchi alisema hivyo sasa watu wakawanakwamisha bunge lisifanye maamuzi ya kurejesha hadhi ya taifa na bunge, kwa kuwakinga wezi, waongo na wazushi. Nawaambia niko tayari kuchukua sheria mkononi kuwaadhibu wezi wa rasilimalizetu iwapo hawatapata hukumu stahili.
 
Muwazi

JF-Expert Member
May 16, 2014
355
225
Tatizo mmezoe matusi na hayawezi kusaidia ni lazima tuseme ukweli ulivyo. Mbowe ni mtuhumiwa naye lazima awajibike. Anajifanya kumkubali Zitto wakati walimfukuza kama sio unafiki ni nini?
 
nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
4,245
2,000
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".

Pole ndugu yangu! Leo umeonja joto la nguvu ya umma. Usirudie tena siku nyingine utaumia hapa! Shame on you!
 
mnyakwetu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
306
225
Kuna watu wanaudhi sana aiseee loh
Hata uchungu wa nchi huna?cjui mnalishwa nn mpaka mnajitoa ufaham namna hii
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,016
2,000
Hivi nyie maccm mnaa akili kweli. Ulitaka ukawa wakae hapo Ili iweje? Tayari ilionekana serikali inataka Kulinda wezi sasa wananchi tunasema tumeona ccm Na serikali yake haitaki. Hapa Kuna kitu inavyoonekana rais Kikwete anahusika Na huu wizi ndio maana viongozi Hawa wana viburi. Haiwezekani hata mwanasheria mkuu ambae kosa kwake lippo wazi Na akadiriki kusema kwamba yupo tayari kubeba kosa la katibu mkuu. Hujiulizi hapa Kuna nini? Sasa sisi wananchi tunasema ukawa njooni kwwetu ondokeni hapo bungeni. Sisi ndio wwenye hii inchi tutaamua. Over
 
Aurora

JF-Expert Member
May 25, 2014
7,319
2,000
Hivi walimaliza saa ngapi coz saa nne kasoro walikata umeme nikaamua kulala zangu,taarifa ya habari ilisomwa au ndio ilipotezewa jumla
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom