Jamani na shtukiza shtukiza zote hizo bado mambo yapo pale pale? Ngojeni Majaliwa aje atumbue.....Wafanyakazi wa hospitali ya Manyamanyama wanauza damu na wakati huo unaambiwa kutoa damu.
Swali, kama ndugu wa mgonjwa anatoa damu kwa nini tena atozwe sh. 5,000 ya damu kila mfuko?
Wilayani BUNDA mkoani MARAManyamanyama ndo' wapi?
umeona uwatumbue mwenyewe ,..ila kwa nini wanafanya hivyo ?Hiyo ndio hospitali chafu kupindukia ,KUNA kidmo kipo hapo kinaitwa MASOSOTA nicolas ,na CHARLES MKOMBE ,hawa ndio magwiji wa kupiga hela hapo jamaa Kwa sasa wanajenga majumba mwanza