TANESCO mbona mnatufanyia hivi hapa Bunda?

Muwazi

JF-Expert Member
May 16, 2014
355
81
TANESCO mbona mnatukatia umeme mda huu wa usiku?
Kwani tatizo ni nini? Hata taarifa ya habari ya saa mbili leo hatuuoni.
 
Yani wanaboa kishemzi, just imagine 5 minutes before the ⚽ wamekata na till now 30 minutes of play hakuna umeme
 
Back
Top Bottom