Kwan Mkusanyiko ulipaswa kuwa na wengi wa Rangi gani?Mbona kama ngozi nyeusi ndio wengi kwenye huo mkusanyiko?
Kwa geograpy ipi!?Hapi ndo center ya Dunia
Moja ya mikusanyiko mikubwa ya waumini sawa na ile ya wahindi kwenye mto Ganges.
Hapi ndo center ya Dunia
Kwa geograpy ipi!?
ndio mana nimeuliza...Kwan Mkusanyiko ulipaswa kuwa na wengi wa Rangi gani?
AmeenMwenyezi mungu atujalie kufika hapo mahali patakatifu. INSHANLAH!
AmeenAllah tujaalie sote wenye hitaji la kukamilisha nguzo hiyo,
Tujaalie uhai,
Tujaalie uwezo,
Tujaalie afya.
Aamiiin Yarabi.
Hivi waislam wangekuw wanaua kw jinc mlivyoaminisha na wazungu dunian kuna waislam bilions kwa akili yng ambayo c ya kuazimwa km zako dunia ingesahaulika sshv.tatizo letu waswahil wengi mzungu akiongea mnaona km kaongea mungu vile.hao wazungu walipiga atomic japan sio ugaid huo kumwaga dam huko iraq na palestina bado akiongea mnashabikia kw kutojielewa ndo mana mmeletew ushoga ndo mnaoutaka.bado hamjajua true color ya hawa jamaa sbb ya uvivu w kufkir na kujua dunia ikoje na inaenda vipiSasa wewe umebughudhika kwa mimi kuwaombea dua njema makafiri?
Duh....
Acha roho mbaya
Mwenyezi mungu atujalie kufika hapo mahali patakatifu. INSHANLAH!
Dalili zinaonesha umechukia.Kwa geograpy ipi!?
Ushapata ushahidi?Leta ushahidi wa kisayansi acha kelele za vijiweni kwenu