PARKING ZA BODABODA ENEO LA HOSPITALI NI KERO

Muwazi

JF-Expert Member
May 16, 2014
355
81
Katika hispitali ya Manyamanyama wilaya ya Bunda kuna bodaboda wanapaki eneo la hospitali kwa ajili ya kujitafutia riziki.
Lakini sasa wanafujo maana wanakimbilia wateja na kupiga resi hovyo hovyo bila kujali kuwa ni eneo la hospitali ambapo kuna wagonjwa wa maradhi mbalimbali..
Jambo hili linafaa kukemewa vikali Sana na uongozi husika ili wawe wastaarabu maana hata parking zao ni mbaya Sana kama unvyoona hapa.
3a148a6d0424edc68aec24c5ed336b84.jpg
edc7a33cc2f688415e388c3cbbf65c99.jpg
9d1d981b8de414cebe8a188b86f59400.jpg
 
Back
Top Bottom