Search results

  1. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    WanaJf, Salaam! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za...
  2. mkafrend

    Watendaji wakuu Serikalini, waajiriwa Serikalini na taasisi zake wanatosha kuiinua TTCL iwapo watatumia mtandao huo - TTCL jengeni minara nchini!

    WanaJF, Salaam! Tukiamua kama taifa kwamba sasa shirika la TTCL liendelee na kuimarika inawezekana - njia pekee ni kuhakikisha kwamba watendaji wakuu Serikalini (i). Wakuu wa Mikoa, Sekretarieti yake na familia zao, (ii). Wakuu wa wilaya na familia zao, (iii). Wakurugenzi wote na wakuu wake wa...
  3. mkafrend

    WanaCCM tunaifahamu Katiba Yetu? Rais hupatinaka hivi!

    WanaJF, Salaam! Katika kipindi cha hivi karibuni kumezidi kuibuka mtifuano wa nani anakuwa Rais wa JMT kupitia CCM - wengine humtaja JPM, wengine Makamba, wengine Membe nk - mimi namtaja bila kuficha huyo atakayetokana na maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa maana ya kuwa ndio wenye jukumu...
  4. mkafrend

    RCs, DCs, DASs na DED, kikao chenu kimshauri vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo kuwa ni hatari kwa CCM

    Salaam sana nguvu kazi ya Mhe. JPM! Salaam sana Jemedari wetu JPM! Ninamatumaini kuwa wakati unaanzisha utoaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo nchini ulikuwa na mapenzi makubwa ya kuwasaidia ili wasisumbuliwe, wasihamishwe hamishwe na wajulikane mtandao wao. Mpango na utekelezaji...
  5. mkafrend

    Hakuna mbunge atakayepoteza jimbo uchaguzi wa 2020?

    WanaJF, Salaam! Iwapo itatokea mbunge yeyote akapoteza ubunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 basi huo utakuwa uzembe wake - wabunge wote kwa miaka takribani mitano mmetuwakilisha vema lakini pia mmeishauri vizuri Serikali ktk kutekeleza mambo mengi ya maendeleo:- (i). Mmeshauri Serikali kuhusu...
  6. mkafrend

    CHADEMA mkishinda kesi meno yote nje, mkishindwa lawama kuwa mahakama ziko mkononi mwa Serikali - anzeni kumwogopa Mungu

    WanaJF, Salaam! Kwanza niwapongeze kwa kupita vema kwenye wekeend iliyopita na kuona siku hii mpaya - MUNGU HANA UPENDELEO. Pili nachukuwa fursa hii kuwaasa ndugu zangu wa CDM kila mara kutumia busara kunapotokea suala ambalo limeamuriwa na vyombo huru vya mahakama zetu - mara nyingi ikitokea...
  7. mkafrend

    Maadui wa Makonda - Dar ni matajiri wakubwa? - CCM tutasalimika?

    WanaJF, Salaam! Ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa habari nyingi za ndani na nje hivi mmewahi kufahamu kwa nini Mhe. Paul Makonda anafuatiliwa sana kwa kila jambo analofanya au kutamka - tunao RCs wengi Tanzania lakini kwa nini mitandao ya kijamii na magazeti yataje sana Paul Makonda? (i). Je...
  8. mkafrend

    Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    WanaJF, Salaam! CCM kina bahati nzuri ya kupendwa sana na makundi makubwa ya Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi Hii inatokana na Mhe. John Pombe Magufuli (Rais wa JMT) kutekeleza kwa asilimia 95 ahadi zake za mwaka 2015 kama ioneshavyo kwa muhtasari:- (i). Serikali kununua zao la Korosho...
  9. mkafrend

    CCM TUMEFUTA UFISADI, TUFUTE WASIOJULIKANA

    WanaJf, Salaam! CCM imeweza kufuta vitendo vya ufisadi mkubwa na mdogo nchini ukilinganisha na zama takriban zote zilizotangulia. Sasa tujielekeze kwenye kufuta hao wasiojulikana - watekaji wa (I). Mohamed Dewji (MO), (ii). Azory Luanda (Mwandishi), (iii). Insp. Masabo, (iv). Ben Saanane...
  10. mkafrend

    Mei Mosi 2019 - Upande chungwa upande ndimu! wafanyakazi tukutane Mei pili

    Wanabodi, Salaam! Siku ya wafanyakazi ni tarehe 01/05/2019 Siku hiyo tutashuhudia mambo mengi sana - nadhani tutaelewa faida tulizopata baada ya kuwatumbua wafanyakazi hewa - nadhani tutapata kuambiwa uwekwaji lumpango wa baadhi ya watumishi na wafanyakazi unaofanywa na baadhi ya Ma DC. Lakini...
  11. mkafrend

    TIBA: Wanawake na Wanaume wenye Ugumba - Si Biashara ni Huduma

    WanaJF, Salaam! Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na wateja wangu wamefanikiwa. Nachoweza kusema ni kwamba dawa yangu ni ya miti ya asili kabisa...
  12. mkafrend

    WANAOTESEKA NA UGUMBA - MUNGU KAKUPA DAWA - MUNGU KAKUUMBA UPYA!

    WanaJF, Salaam! Uhahamu na Historia: Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na wateja wangu wamefanikiwa. Nathibitisha kuwepo Mungu katikati yetu ambaye...
  13. mkafrend

    JE UMEKOSA MTOTO SABABU YA UGUMBA! PATA TIBA HARAKA!

    WanaJF, Salaam! Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na wateja wangu wamefanikiwa. Nachoweza kusema ni kwamba dawa yangu ni ya miti ya asili kabisa (Edeni...
  14. mkafrend

    Sababu 15 za kuhama kwa Maalim Seif na anguko la kesho kwa ACT Wazalendo

    WanaJF, Salaam! Nimepitia between lines mahojiano ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Maalim Seif Sharifu Hamadi - katika maelezo yake na sababu 15 ni kama zifuatazo:- 1. Nakumbuka wakati tunatia saini muafaka wa Zanzibar Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamini Mkapa alisema hakuna...
  15. mkafrend

    Tanzania yakamata nafasi 10 nchi zenye amani Afrika

    WanaJF, Salaam! Taswira ya Tanzania kimataifa imeendelea kupaa baada ya Taasisi ya Global Peace Index (GPI) kuitangaza Tanzania kushika nafasi ya 51 miongoni mwa nchi zenye amani zaidi duniani katika kipindi cha mwaka 2018. Tanzania imeshika nafasi hiyo ikiwa ni ya juu zaidi kufikiwa tangu...
  16. mkafrend

    CHADEMA endeleeni na vijembe, CCM ilani inatekelezwa

    Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:- REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)? TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)? Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo...
  17. mkafrend

    Zitto Kabwe, CHADEMA waliokubeza sasa watakukimbilia - wakati husema kweli

    WanaJf, salaam! Nawaona wana CHADEMA sasa wakimkimbilia Zitto Kabwe ili awarudishe kwenye reli ya mafanikio ya kisiasa baada ya chama hiki kuanza kupotea taratibu - dalili za hiki ninachosema kinatokana na ukweli kwamba Miaka takriban minne iliyopita CHADEMA walimwita Zitto kila aina ya tusi na...
  18. mkafrend

    Zawadi ya gari alilopewa Tundu Lissu ni mali ya bunge si CHADEMA

    WanaJF, salaam! Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:- (i). Kanuni ziko wazi kwamba ikitokea ukapokea fedha au kifaa ambacho thamani yake inazidi tshs 50,000/=...
  19. mkafrend

    Kuna siku CHADEMA watapongeza Serikali ya CCM?

    Nimejionea mwenyewe! (i). Hivi ipo siku CDM na washirika wake watasikika wakipongeza Serikali ya CCM kwa namna inavyopambana kumaliza changamoto za Watanzania? (ii). Je, ipo siku watasema leo nimekunywa maji yanayotokana na nguvu za Serikali ya CCM ktk upatikanaji wake? (iii). Je, ipo siku...
  20. mkafrend

    CCM ijitathmini takwimu za uchaguzi mkuu 2005, 2010 na 2015 hazinipi raha

    WanaJF, Salaam! Nimepitia kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kupima mwenendo wa matokeo ya uchaguzi Mkuu kwa miaka mitatu ambayo ni 2005, 2010 na 2015. Kwa ujumla nimegunduwa kwamba CCM inapaswa kuongeza nguvu na ushawishi ili kijiweke katika nafasi nzuri ktk chaguzi zijazo. Aidha, hapa...
Back
Top Bottom