mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
WanaJf, Salaam!
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.
Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.
Nawakia siku njema.
MK 2019