CCM TUMEFUTA UFISADI, TUFUTE WASIOJULIKANA

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
WanaJf, Salaam!
CCM imeweza kufuta vitendo vya ufisadi mkubwa na mdogo nchini ukilinganisha na zama takriban zote zilizotangulia. Sasa tujielekeze kwenye kufuta hao wasiojulikana - watekaji wa
(I). Mohamed Dewji (MO),
(ii). Azory Luanda (Mwandishi),
(iii). Insp. Masabo,
(iv). Ben Saanane (Mwanaharakati),
(v). Mdude (Mwanasiasa) nk

Wananchi endeleeni kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kazi hii ya kutokomeza wasiojulikana ifanikiwe - kamwe tusikubali watu wachache waharibu image nzuri ya nchi yetu inayoongozwa na Rais jasiri Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli "UMOJA NI USHINDI CCM 2019"

MK 2019
 
Huwezi kufuta malengo yako ya msingi.

Nakumbuka miaka ya Nyerere tulizikemea mataifa yoyote ile iliyokuwa inaongozwa ki dictator duniani. Leo tunaweza kumnyoshea nani kidole ?!. Leo tunanyoshewa sisi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwezi kufuta malengo yako ya msingi.

Nakumbuka miaka ya Nyerere tulizikemea mataifa yoyote ile iliyokuwa inaongozwa ki dictator duniani. Leo tunaweza kumnyoshea nani kidole ?!. Leo tunanyoshewa sisi

Ni ccm pekee inayoweza kufuta wasiojulikana!
Hatujafika hatua ya kunyooshewa kidole na mataifa duniani
 
WanaJf, Salaam!
CCM imeweza kufuta vitendo vya ufisadi mkubwa na mdogo nchini ukilinganisha na zama takriban zote zilizotangulia. Sasa tujielekeze kwenye kufuta hao wasiojulikana - watekaji wa
(I). Mohamed Dewji (MO),
(ii). Azory Luanda (Mwandishi),
(iii). Insp. Masabo,
(iv). Ben Saanane (Mwanaharakati),
(v). Mdude (Mwanasiasa) nk

Wananchi endeleeni kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kazi hii ya kutokomeza wasiojulikana ifanikiwe - kamwe tusikubali watu wachache waharibu image nzuri ya nchi yetu inayoongozwa na Rais jasiri Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli "UMOJA NI USHINDI CCM 2019"

MK 2019
Ufisadi upi umefutwa wewe
 
kama kweli anatenda yaliyomema na yaliyotukuka mbona hataki kukosolewa na watu wake? akikosolewa kipara kinatoa maji? mfano ripoti ya CAG imepigwa ngwala na kutupwa jalalani. hakuna bunge live ili watu wafanye kazi lakini yeye hata akienda.... anafuatwa na makamera
kama mmefuta ufisadi twambie Yule BASHITE ile migar ya kifahar kaipata wapi na kakaa madarakani kwa mud gani?
acha umbea serikali ya ccm ndiyo inatska na kuua watu
 
kama kweli anatenda yaliyomema na yaliyotukuka (i). mbona hataki kukosolewa na watu wake? akikosolewa kipara kinatoa maji? mfano ripoti ya CAG imepigwa ngwala na kutupwa jalalani. hakuna bunge live ili watu wafanye kazi lakini yeye hata akienda.... anafuatwa na makamera
(ii). kama mmefuta ufisadi twambie Yule BASHITE ile migar ya kifahar kaipata wapi na kakaa madarakani kwa mud gani?
acha umbea serikali ya ccm ndiyo inatska na kuua watu

(i). Kipengere cha kwanza mbona tayari umemkosoa?
(ii). Kipengere cha pili - kwani ni dhambi BASHITE kumiliki magari? - unaweza kutoa ya moyoni kuhusu ufisadi wake au ni mihemuko ya kisiasa?
 
mm sina mihemko ya kisiasa ila nakuhakikkshia BASHITE ana mali nyingi kuliko kipato chake? mf. yye anatumia gari tofauti na expensive kuliko RCs wote Tz kalipata wapi? wakati wa Kuupokea mwili wa Ruge alipanda Bm tofauti hata na kiina January waliotumia ya serikali kapata wapi. nmagar mengi ya kifahar katoa wapi huyu kaja juzi tu? hilo nalo linahitaji PCCB?
Kitendo cha bwana BASHITE Kuingiza makontena bila kulipia ushuru na kulazimisha mkuu wa nchi kuongea kwa upolee akijua kosa limetendeka ulielewaje? angekuwa gambo angeachwa? hakuna anayekataa bashite kumiliki magar la hasha! tatizo letu anamiliki gari za aina gani, zenye thamani gani na pesa katoa wapi? ndiyo maana pakawa na sheria ya maadili ya viongozi wa umma! usidakie maneno juujuu soma elewa
KAMA KWELI ANAPAMBANA NA UFISADI ARUHUSU CAG ASOME RIPOTI YAKE BUNGENI
VINGINEVYO NI SARAKASI TU
 
Hoja yako inafikirisha sana, natamani pale lumumba pawe na dawati la JF kwa ajili ya kupokea SHAURI HIZI
 
Ufisadi gani wakati Mafisadi mpo nao? mwingine mliyemtangaza sana wakati wa Kampeni 2015 mpo nae
 
WanaJf, Salaam!
CCM imeweza kufuta vitendo vya ufisadi mkubwa na mdogo nchini ukilinganisha na zama takriban zote zilizotangulia. Sasa tujielekeze kwenye kufuta hao wasiojulikana - watekaji wa
(I). Mohamed Dewji (MO),
(ii). Azory Luanda (Mwandishi),
(iii). Insp. Masabo,
(iv). Ben Saanane (Mwanaharakati),
(v). Mdude (Mwanasiasa) nk

Wananchi endeleeni kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kazi hii ya kutokomeza wasiojulikana ifanikiwe - kamwe tusikubali watu wachache waharibu image nzuri ya nchi yetu inayoongozwa na Rais jasiri Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli "UMOJA NI USHINDI CCM 2019"

MK 2019
Image nzuri ya nchi yetu imeharibiwa na uongozi mbaya wa Awamu kwa kuruhusu bila kificho ufisadi na matumizi mabaya kodi za wananchi. Maovu yote yanayotajwa yameletwa na Awamu hii kwa hiyo haina uwezo ya kuyakomesha wala kuyapunguza.
 
Hakuna Kipindi Kigumu Wanachopitia Wanaccm Na Mwenyekiti Wao Kama Hiki Leo Akifanya Zuri Wengine Wanamsifia Wengine Wanamkosoa Na Kusema Mzee Wa Kiki Yaan Anatengeneza Matukio Mwenyewe Na Mbaya Zaidi Wale Wanao Mkosoa Baadhi Yao Wanapotea Kwa Njia Ya Utata Mawili Yanawezakuwa Japo Akuna Ushaidi Inawezekana Hao Wanaomkusoa Wenyewe Kwa Wenyewe Wanazungukana Ili Waonekane Wanaonewa Au Katika Wafuasi Wako Wanaokupenda Awapendi Kuona Unakosorewa Hasa Kwa Mazuri Unayowafanyia Mh Mwenyekiti Ccm Haya Matukio Wanaofanya Haya Makundi Kwa Ushauri Yakemee Tumia Cheo Chako Yanakuaribia Mazingira Fulan Ya Uwongozi Wako
 
WanaJf, Salaam!
CCM imeweza kufuta vitendo vya ufisadi mkubwa na mdogo nchini ukilinganisha na zama takriban zote zilizotangulia. Sasa tujielekeze kwenye kufuta hao wasiojulikana - watekaji wa
(I). Mohamed Dewji (MO),
(ii). Azory Luanda (Mwandishi),
(iii). Insp. Masabo,
(iv). Ben Saanane (Mwanaharakati),
(v). Mdude (Mwanasiasa) nk

Wananchi endeleeni kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kazi hii ya kutokomeza wasiojulikana ifanikiwe - kamwe tusikubali watu wachache waharibu image nzuri ya nchi yetu inayoongozwa na Rais jasiri Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli "UMOJA NI USHINDI CCM 2019"

MK 2019
Umeandika vzr ila hapo mwisho umemalizia vibaya
 
Ufisadi upi mliofuta? Umewahi kusikia ukwapuzi wa 2.4 trillions? Umewahi kusikia uchotajwi wa $495 millions bila idhini ya Bunge ili kununua ndege na mwendawazimu wa Ikulu kugomea CAG Assad asikague? Unadhani kwanini hakutaka CAG Assad akague matumizi ya trillions za walipa kodi?

Back
Top Bottom