mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
WanaJF, Salaam!
Tukiamua kama taifa kwamba sasa shirika la TTCL liendelee na kuimarika inawezekana - njia pekee ni kuhakikisha kwamba watendaji wakuu Serikalini
(i). Wakuu wa Mikoa, Sekretarieti yake na familia zao,
(ii). Wakuu wa wilaya na familia zao,
(iii). Wakurugenzi wote na wakuu wake wa Idara na familia zao,
(iv). Mawaziri, Naibu, Makatibu Wakuu na familia zao,
(v). Wakuu wa shule, wakuu wa hosipitali,
(vi). Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma na familia zao,
(vii). Wakuu wa CCM na familia zao nk
Hawa wakitumia mtandao wa TTCL inakuwa na uhakika wa kukua kiuchumi.
Kazi ya TTCL iwe ni kuimarisha minara ya mawasiliano ili huduma hizo zipatikane maeneo yoye ya nchi kama ilivyo kwa Halotel.
Mtaka cha uvunguni!