Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
WanaJF, Salaam!
CCM kina bahati nzuri ya kupendwa sana na makundi makubwa ya Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi

Hii inatokana na Mhe. John Pombe Magufuli (Rais wa JMT) kutekeleza kwa asilimia 95 ahadi zake za mwaka 2015 kama ioneshavyo kwa muhtasari:-
(i). Serikali kununua zao la Korosho kwa bei nzuri,
(ii). Serikali kupunguza kodi kwenye zao la Kahawa,
(iii). Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara nchini,
(iv). Serikali kuendelea kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini

CDM na washirika wake jiandaeni kuisoma namba mwaka 2020 lkn pia nawaomba kwa umoja wenu mmuunge mkono Rais katika kazi zake nzuri za kuliletea taifa maendeleo.

Maendeleo haya chama!
MK 2019
 
Naipenda sana CCM ila zitashiriki kupiga kura mpaka mambo nayoyaitaji yafanyiwe kazi, sina kauli ya kuyasema hapa na wakijiongeza tutapata usawa
 
WanaJF, Salaam!
CCM kina bahati nzuri ya kupendwa sana na makundi makubwa ya Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi

Hii inatokana na Mhe. John Pombe Magufuli (Rais wa JMT) kutekeleza kwa asilimia 95 ahadi zake za mwaka 2015 kama ioneshavyo kwa muhtasari:-
(i). Serikali kununua zao la Korosho kwa bei nzuri,
(ii). Serikali kupunguza kodi kwenye zao la Kahawa,
(iii). Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara nchini,
(iv). Serikali kuendelea kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini

CDM na washirika wake jiandaeni kuisoma namba mwaka 2020 lkn pia nawaomba kwa umoja wenu mmuunge mkono Rais katika kazi zake nzuri za kuliletea taifa maendeleo.

Maendeleo haya chama!
MK 2019

Mgonjwa wa akili wewe na ndio maana ni maskini mpaka leo! Akili zako nadhani ziko kwenye kichwa kile kingine kidogo...shenzi type! Mwanaume rijali umekaa na korodani zako unaleta uzi wa kishoga eti ccm ili iweje? Malofa wa akili utawajua tu!
 
Mnawaza Vyeo tu kila mkilala mkiamka mkienda Msalani mawazo ni hayo hayo ,mmesahau shida za Msingi kbs za Wananchi pumbav zenu.
Mabarabara,hospitali,elimu bure,madawa msd,standard gauge,stiegles gorge nk ndio shida za msingi za wananchi.

Sio ngonjera zenu za kis**ga
 
Tuna hitaji Maendeleo ya Watu na sio vitu kama hivi ulivyo vitaja ,vyote ulivyo vitaja hapa kama huna Nguvu ya Pesa mfukoni ni kazi bure.

Pia nikuombe ,badilika usichangie kwa Matusi jifunze kuwa mstaarabu.
 
Mgonjwa wa akili wewe na ndio maana ni maskini mpaka leo! Akili zako nadhani ziko kwenye kichwa kile kingine kidogo...shenzi type! Mwanaume rijali umekaa na korodani zako unaleta uzi wa kishoga eti ccm ili iweje? Malofa wa akili utawajua tu!

Pitia tena maandishi yangu ukikuta tusi rudi utukane - jitahidi kutojionesha kwamba wewe ulilelewa na mama wa kambo - jenga hoja tu ndugu!

Copied from above
WanaJF, Salaam!
CCM kina bahati nzuri ya kupendwa sana na makundi makubwa ya Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi

Hii inatokana na Mhe. John Pombe Magufuli (Rais wa JMT) kutekeleza kwa asilimia 95 ahadi zake za mwaka 2015 kama ioneshavyo kwa muhtasari:-
(i). Serikali kununua zao la Korosho kwa bei nzuri,
(ii). Serikali kupunguza kodi kwenye zao la Kahawa,
(iii). Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara nchini,
(iv). Serikali kuendelea kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini

CDM na washirika wake jiandaeni kuisoma namba mwaka 2020 lkn pia nawaomba kwa umoja wenu mmuunge mkono Rais katika kazi zake nzuri za kuliletea taifa maendeleo.

Maendeleo haya chama!
MK 2019
 
Mabarabara,hospitali,elimu bure,madawa msd,standard gauge,stiegles gorge nk ndio shida za msingi za wananchi.
stiegler's gorge mradi umeshakamilika. Jee SGR mradi umefikia asilimia ngapi?

Madawa MSD ndiyo nini?

Elimu bure ina viwango? Halafu ubure wake uko kwenye nini?

Hospitali kwako ni nini. Ni jengo ama ni muunganiko wa madaktari wa kutosha na vifaa tiba toshelevu na manesi wabobevu?
 
Kazi yake nzuri ipi??

(i). Serikali kununua zao la Korosho kwa bei nzuri,
(ii). Serikali kupunguza kodi kwenye zao la Kahawa,
(iii). Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara nchini,
(iv). Serikali kuendelea kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini
(v). Serikali kujenga reli ya kisasa Dar - Moro,
(vii). Serikali kugawa vitambulisho vya wafanyabiashara ndogo,

CDM na washirika wake jiandaeni kuisoma namba mwaka 2020 lkn pia nawaomba kwa umoja wenu mmuunge mkono Rais katika kazi zake nzuri za kuliletea taifa maendeleo.

Maendeleo haya chama!
MK 2019
 
WanaJF, Salaam!
CCM kina bahati nzuri ya kupendwa sana na makundi makubwa ya Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi

Hii inatokana na Mhe. John Pombe Magufuli (Rais wa JMT) kutekeleza kwa asilimia 95 ahadi zake za mwaka 2015 kama ioneshavyo kwa muhtasari:-
(i). Serikali kununua zao la Korosho kwa bei nzuri,
(ii). Serikali kupunguza kodi kwenye zao la Kahawa,
(iii). Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara nchini,
(iv). Serikali kuendelea kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini

CDM na washirika wake jiandaeni kuisoma namba mwaka 2020 lkn pia nawaomba kwa umoja wenu mmuunge mkono Rais katika kazi zake nzuri za kuliletea taifa maendeleo.

Maendeleo haya chama!
MK 2019
Umesahau !! Mbona hujaweka namba zako ?!.
 
Hao watakuwa wafanyabiashara wa pale Kona bar, kwa Wahaya au kimboka maana ndio biashara pekee ambayo ina hali nzuri. Na hao wafanyakazi watakuwa wale wa kazi maalum wanaoteka teka watu, lazima wana package ya maana sana ndio maana bwana wao analalamika pesa 'nyingi' analipa mishahara na hataongeza mishahara.
 
Mkuu; Mei mosi nilikuwa Njombe, Wilaya ya Wanging'ombe, mji wa Ilembula. Wakati tunasikilza hotuba ya mgeni rasmi, mkuu Mkulu anasema hatopandisha mishahara mwaka huu, ule uwanja uligeuka kuwa uwanja wa huzuni. Inawezekana sana wafanyakazi wanaipenda sana CCM. Naipenda sana TANZANIA
 
Back
Top Bottom