Zawadi ya gari alilopewa Tundu Lissu ni mali ya bunge si CHADEMA

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
WanaJF, salaam!

Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:-

(i). Kanuni ziko wazi kwamba ikitokea ukapokea fedha au kifaa ambacho thamani yake inazidi tshs 50,000/= wakati ukitekeleza shughuli za taasisi zawadi hiyo itakabidhiwa na kuwekwa kwenye orodha ya mali ya Umma (Serikali). Mfano Mhe. Prof Anne Tibaijuka akiwa mbunge kama Tundu Lissu alizawadiwa fedha akiwa nje ya nchi - zawadi zile alizikabidhi Serikalini kama taratibu zinavyofafanunua. Hivyo, iwapo Tundu Lissu amezawadiwa gari naomba Bunge lione jinsi ya kulichukuwa gari hilo na kuwekwa kwenye reja ya Serikali.

(ii). Tundu Lissu yuko kwenye matibabu kama Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa kambi ya upinzani - hiki ni cheo na mara zote wakati akihojiwa na vyombo vya habari hujipambanua kama Mbunge - kwa maana hiyo yuko nchini Ubelgiji kwenye matibabu kama mbunge - Hivyo, zawadi za aina yoyote anazopokea lazima ziratibiwe na taasisi anayofanya nayo kazi (Bunge). itakuwa ajabu iwapo kweli amepokea basi la zawadi kisha alipeleke nyumbani kwake au kwenye chama chake - inaweza kuwa uvunjaji wa taratibu za kiutumishi na kiutendaji.

Hili halipaswi kujadiliwa sana!
 
Kwahiyo hilo basi la Sera Mbadala ndio linataka kukutoa roho?!!
 
Kwa hiyo pesa za matibabu alizochangiwa arejeshe serikalini kama alivyofanya Mh Tibaijuka?
 
Umesahau kuwa Bunge halijamlipia matibabu na sasa limemnyang'anya mshahara?
 
Sikujua kama Ndugai ana ID fake hapa jf
 
Kwa huko Matibabuni alipekwa na Bunge kama sehemu ya kazi? Au Bunge linamuhesabu kama Mzururaji ndio maana wanasitisha mshahara wake?
 
WanaJF, salaam!

Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:-

(i). Kanuni ziko wazi kwamba ikitokea ukapokea fedha au kifaa ambacho thamani yake inazidi tshs 50,000/= wakati ukitekeleza shughuli za taasisi zawadi hiyo itakabidhiwa na kuwekwa kwenye orodha ya mali ya Umma (Serikali). Mfano Mhe. Prof Anne Tibaijuka akiwa mbunge kama Tundu Lissu alizawadiwa fedha akiwa nje ya nchi - zawadi zile alizikabidhi Serikalini kama taratibu zinavyofafanunua. Hivyo, iwapo Tundu Lissu amezawadiwa gari naomba Bunge lione jinsi ya kulichukuwa gari hilo na kuwekwa kwenye reja ya Serikali.

(ii). Tundu Lissu yuko kwenye matibabu kama Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa kambi ya upinzani - hiki ni cheo na mara zote wakati akihojiwa na vyombo vya habari hujipambanua kama Mbunge - kwa maana hiyo yuko nchini Ubelgiji kwenye matibabu kama mbunge - Hivyo, zawadi za aina yoyote anazopokea lazima ziratibiwe na taasisi anayofanya nayo kazi (Bunge). itakuwa ajabu iwapo kweli amepokea basi la zawadi kisha alipeleke nyumbani kwake au kwenye chama chake - inaweza kuwa uvunjaji wa taratibu za kiutumishi na kiutendaji.

Hili halipaswi kujadiliwa sana!
Sii mmesema hamjui alipo?
 
..lakini Spika Ndugai amesema kwa sasa hivi hajui mahali alipo TL.

..pia mara ya kwanza alipoondoka kwenda Nairobi, Spika alisema TL yuko nje ya nchi kwa utaratibu "binafsi."

..kwa maana nyingine, safari ya TL Nairobi, na Ubelgiji, hazina baraka za uongozi wa bunge la Tz.

..hoja yako ingekuwa na nguvu kama TL angekuwa Ubelgiji ktk ziara ya KIBUNGE yenye baraka za UONGOZI wa bunge la Tz.
 
Kiukweli upo sahihi

Wengine watabisha kwaajili ya ubishi tu.
 
WanaJF, salaam!

Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) Hili halipaswi kujadiliwa sana!
Kama ambavyo Mkapa alipewa zawadi ya kitofali cha dhahabu kikawa cha serikali, sivyo? Na vipi ile hoteli aliyozawadiwa kule Bondeni South baada ya ubinafsishaji wa NBC, nayo ni mali ya serikali?

Na by the way, just for your information, Chadema, kama CCM, ni taasisi ya umma. Ndio maana inapewa ruzuku na hata CAG anaweza kuikagua hesabu zake. Kwa hiyo Lissu akitoa basi kwa Chadema bado kalitoa kwa umma. Mwambieni Polepole aende ulaya na yeye atapewa basi, tena kubwa zaidi.
 
WanaJF, salaam!

Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:-

(i). Kanuni ziko wazi kwamba ikitokea ukapokea fedha au kifaa ambacho thamani yake inazidi tshs 50,000/= wakati ukitekeleza shughuli za taasisi zawadi hiyo itakabidhiwa na kuwekwa kwenye orodha ya mali ya Umma (Serikali). Mfano Mhe. Prof Anne Tibaijuka akiwa mbunge kama Tundu Lissu alizawadiwa fedha akiwa nje ya nchi - zawadi zile alizikabidhi Serikalini kama taratibu zinavyofafanunua. Hivyo, iwapo Tundu Lissu amezawadiwa gari naomba Bunge lione jinsi ya kulichukuwa gari hilo na kuwekwa kwenye reja ya Serikali.

(ii). Tundu Lissu yuko kwenye matibabu kama Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa kambi ya upinzani - hiki ni cheo na mara zote wakati akihojiwa na vyombo vya habari hujipambanua kama Mbunge - kwa maana hiyo yuko nchini Ubelgiji kwenye matibabu kama mbunge - Hivyo, zawadi za aina yoyote anazopokea lazima ziratibiwe na taasisi anayofanya nayo kazi (Bunge). itakuwa ajabu iwapo kweli amepokea basi la zawadi kisha alipeleke nyumbani kwake au kwenye chama chake - inaweza kuwa uvunjaji wa taratibu za kiutumishi na kiutendaji.

Hili halipaswi kujadiliwa sana!
Sasa kama mumemsimamishia mshahara wake, ufanyakazi wa taasisi gani tena unaouzungumzia?
 
Tuambie ni ibara na kifungu cha ngapi cha katiba ya nchi?
Kuongea kwa hisia na mihemko si afya kwa nchi yetu.
Unataka kutuaminisha serikali yetu haina jambo kubwa na zuri la kutufanyia ila ni kuhangaika na TL kila uchwao?
Roho mbaya unayoishauri serikali yetu kufanya haiwezi kuwaletea maji wananchi wa vijijini
Hawezi kuwaletea umeme wanavijiji wasiokuwa na umeme
Haiwezi kusaidia ujenzi wa madarasa ya shule kwa watoto wetu.
Tujikite kwenye masuala ya kutusaidia zaidi kuliko kutafuta umaarufu usio na maana.
 
WanaJF, salaam!

Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:-

(i). Kanuni ziko wazi kwamba ikitokea ukapokea fedha au kifaa ambacho thamani yake inazidi tshs 50,000/= wakati ukitekeleza shughuli za taasisi zawadi hiyo itakabidhiwa na kuwekwa kwenye orodha ya mali ya Umma (Serikali). Mfano Mhe. Prof Anne Tibaijuka akiwa mbunge kama Tundu Lissu alizawadiwa fedha akiwa nje ya nchi - zawadi zile alizikabidhi Serikalini kama taratibu zinavyofafanunua. Hivyo, iwapo Tundu Lissu amezawadiwa gari naomba Bunge lione jinsi ya kulichukuwa gari hilo na kuwekwa kwenye reja ya Serikali.

(ii). Tundu Lissu yuko kwenye matibabu kama Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa kambi ya upinzani - hiki ni cheo na mara zote wakati akihojiwa na vyombo vya habari hujipambanua kama Mbunge - kwa maana hiyo yuko nchini Ubelgiji kwenye matibabu kama mbunge - Hivyo, zawadi za aina yoyote anazopokea lazima ziratibiwe na taasisi anayofanya nayo kazi (Bunge). itakuwa ajabu iwapo kweli amepokea basi la zawadi kisha alipeleke nyumbani kwake au kwenye chama chake - inaweza kuwa uvunjaji wa taratibu za kiutumishi na kiutendaji.

Hili halipaswi kujadiliwa sana!
Kwani mnateseka?
 
Back
Top Bottom