Maadui wa Makonda - Dar ni matajiri wakubwa? - CCM tutasalimika?

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
WanaJF, Salaam!
Ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa habari nyingi za ndani na nje hivi mmewahi kufahamu kwa nini Mhe. Paul Makonda anafuatiliwa sana kwa kila jambo analofanya au kutamka - tunao RCs wengi Tanzania lakini kwa nini mitandao ya kijamii na magazeti yataje sana Paul Makonda?

(i). Je, aliowakatisha biashara za dawa za kulevya ndio huunda mtandao wa kumshambulia na kufuatilia hatua zake? KAMA NI KWELI AU SI KWELI basi mamalaka ya uteuzi wake inapaswa kuangalia hili kwamba kipindi alipotangaza vita dhidi ya dawa za kulevya alitangaza vita kubwa kuanzia kwa matajiri, punda, watumiaji na waajiriwa wa matajiri hao; REJEENI AMINA CHIFUPA ALIPOKUWA TAYARI KUTAJA DEALERS WA DAWA ZA KULEVYA!

(ii). Je, aliowaanika kwa kutelekeza familia, wake, watoto wanaungana na kuunganisha nguvu pamoja na wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuhakikisha wanamwangusha?

(iii). Je, vyama vya upinzania ambavyo mwaka 2015 vilijishindia majimbo mengi ya uchaguzi DAR wanatumia mwanya huo kudhoofisha jitihada zake kwa njia yoyote ile za kuhakikisha kwamba Mwaka 2020 majimbo yote yarudi CCM - KAMA JIBU NI NDIYO upinzani unadhani hata akiletwa RC mwingine DAR ndiyo ataruhusu majimbo yaendelee kuwa upinzani?

(iv). Je, wale kundi la wapenda maandamano ndio wameunganisha nguvu kuhakikisha kwamba wanamdhoofisha Paul Makonda - Nani ataruhusu maandamano ambayo hayana faida ikiwa RC Makonda atandolewa?

Kwa kila hatua ya hukumu dhidi ya Makonda tufahamu kwa sisi wote ni binadamu - tunakosa sawa na binadamu - tunachukiwa sawa na binadamu - lakini jambo la msingi ni kuendelea kujenga hulka ya kusamehe na kusahau - tusikae upande wa wahukumu siku zote.

Pole sana Paul Makonda kwa kuwa unaongoza mkoa wenye ufahamu mkubwa wa masuala ya kibiashara, kisiasa, na kiteknolojia n.k SIMAMA UPANDE WA MUNGU SIKU ZOTE!

MK 2019
 
Sidhani kama anamjua Mungu huyu, labda kwa maigizo na kukariri mistari tu vinginevyo makonda ni muhanga wa matendo na tabia zake mwenyewe, kama anaandamwa ni wa kujilaumu mwenyewe tu na tabia zake chafu, viherehere na kimbele-front!
 
Duh sijui ni kwa sababu ya mvua zinazonyesha kwa wingi na mafuriko Dar, hili kasha la Tv limetoka wapi?
 
Kwa hivyo Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru ni muuza madawa ya kulevya ndio maana alimsema Jana kuwa Makonda alienda ofisini kwake analia?
Yaani jamaa linajifanya gangwe kumbe likienda ofisini za wakubwa zake linalia kama toto?
Hapo imedhihirisha kuwa kama bosi wake angekuwa wa Pwani angeweza kufanya Yale yanayosemwa sana kwa bashite
 
Baba Askofu Dk. Shoo alishamaliza yote, pale madhabahuni...kama bado mnajitutumua kama kifutu.....mchukue Makonda na wenzako mkaonane na Katibu Mkuu wa CCM atawaelimisha na mtaelewa.... Kuendelea kuandika upuuzi ni kumchosha Katibu wa Chama Nd. Bashiru.

Hongera kwa kuikubali CCM
 
WanaJF, Salaam!
Ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa habari nyingi za ndani na nje hivi mmewahi kufahamu kwa nini Mhe. Paul Makonda anafuatiliwa sana kwa kila jambo analofanya au kutamka - tunao RCs wengi Tanzania lakini kwa nini mitandao ya kijamii na magazeti yataje sana Paul Makonda?

(i). Je, aliowakatisha biashara za dawa za kulevya ndio huunda mtandao wa kumshambulia na kufuatilia hatua zake? KAMA NI KWELI AU SI KWELI basi mamalaka ya uteuzi wake inapaswa kuangalia hili kwamba kipindi alipotangaza vita dhidi ya dawa za kulevya alitangaza vita kubwa kuanzia kwa matajiri, punda, watumiaji na waajiriwa wa matajiri hao; REJEENI AMINA CHIFUPA ALIPOKUWA TAYARI KUTAJA DEALERS WA DAWA ZA KULEVYA!

(ii). Je, aliowaanika kwa kutelekeza familia, wake, watoto wanaungana na kuunganisha nguvu pamoja na wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuhakikisha wanamwangusha?

(iii). Je, vyama vya upinzania ambavyo mwaka 2015 vilijishindia majimbo mengi ya uchaguzi DAR wanatumia mwanya huo kudhoofisha jitihada zake kwa njia yoyote ile za kuhakikisha kwamba Mwaka 2020 majimbo yote yarudi CCM - KAMA JIBU NI NDIYO upinzani unadhani hata akiletwa RC mwingine DAR ndiyo ataruhusu majimbo yaendelee kuwa upinzani?

(iv). Je, wale kundi la wapenda maandamano ndio wameunganisha nguvu kuhakikisha kwamba wanamdhoofisha Paul Makonda - Nani ataruhusu maandamano ambayo hayana faida ikiwa RC Makonda atandolewa?

Kwa kila hatua ya hukumu dhidi ya Makonda tufahamu kwa sisi wote ni binadamu - tunakosa sawa na binadamu - tunachukiwa sawa na binadamu - lakini jambo la msingi ni kuendelea kujenga hulka ya kusamehe na kusahau - tusikae upande wa wahukumu siku zote.

Pole sana Paul Makonda kwa kuwa unaongoza mkoa wenye ufahamu mkubwa wa masuala ya kibiashara, kisiasa, na kiteknolojia n.k SIMAMA UPANDE WA MUNGU SIKU ZOTE!

MK 2019

Kwahiyo na Sisi wengine tunaomkosoa mara kwa mara hapa Jamvini ( JamiiForums ) kwa nia ya ' Kumbadilisha ' pia ni ' Drug Barons ' Mkuu?
 
Back
Top Bottom