Search results

  1. upele

    Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

    MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara:pamba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda...
  2. upele

    Lulu nje kwa dhamana vipi shekh ponda na wenzie kunanini hapo

    Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya waislamu waonekane wabaya "ponda aachiliwe kosa lake halijulikani na lulu nae vipi"
  3. upele

    Pinda,jk,ghasia,mkuchika hiki ndiyo kinawachanganya kuhusu gesi ya mtwara

    Kutokana na msimamo wa wana mtwara na lindi msimamo wao na madai yao ya msingi na kuoneka serikali ina nia ya kuwataka kutia changa la macho kwa wana mtwara -lindi,na kufanya kusahau ahadi walizozitoa hapo awali na kupelekea kutoeleweka daima, "gas kwanza maneno baadae"
  4. upele

    Gari lachomwa moto msombati mtwara

    Gas kwanza uhai baadae
  5. upele

    Kuhusu gesi mtwara ukweli huu hapa kupitia kampuni ya wentworthresources,300mw plant

    hapa tutaona jinsi gani serikali ya tanzania ilivogeuza mradi wa power plant ya 300mw,kupitia fedha iliyokopa ktk bank of china 13.10.2011(Exim) kiasi cha dola za kimarekani cha 684,kwa mradi huo huko mtwara mnazi bay,sasa cha ajabu ya leo wanataka kutoa gas hiyo kupeleka gas hiyo huko dar,ebu...
  6. upele

    Mnazi bay gas to dsm what is the secret inside this issue

    Ukweli ni upi?
  7. upele

    Future still as dreams

    hata picha hujui kusoma
  8. upele

    Heavy menyuuuu na mafruitiiii

    kwa walaji wanaozingatia afya zao
  9. upele

    Tuliko toka jamani

    Uwezi amini eti leo ni wabunge mungu mkubwaa kazi kweli kweli
  10. upele

    Kuacha club nasikia uchunguuuu

    Yaan sasa tusubiri mahesabu kwani biashara bila matangazo hainunuliki.
  11. upele

    1000Tshs NMB NIAJE PALE

    jamani jamani sasa imekuwa ni kero hapa tz sijui ni aina gani ya wizi tena nmb unalipia 1000 a.k.a buku kutuma pesa imekaajee hii jamani nijulisheni mbona benk zingine sijaona ref:nmb mtwara. Nongwaa nongwaa mfanyie babayoo
  12. upele

    Maisha ya tz 2010--2015

  13. upele

    Kero kero mtandao wa tigo jamaniiiiii

    ASALAAM ALAYKUM WANA JF HIVI MAWASILIANO HASA NI KERO SASA KWA MTANDAO WA TGO MPAKA INAKUWA HATUNA IMANI NA WENYE MTANDAO AU NDIYO AINA YA UFISADI MAANA UNAWEZA KUWA UNAPIGA HAMUSIKILIZANI NA PESA WANACHUKUA YAAN NI KEROOOOOO, IMEKAA VIBAYA HIII Conquest-ufisadi tz mpka lini
  14. upele

    Wanagapi wamechoka ccm?

    MAANA NAONA MAISHA KILA SIKU YANAKUWA MAGUMU,NA HASA HAWA MAPROF,WASOMI KWA UJUMLA INCHINI KWETU WANA MCHANGO GANI KTK TZ YETU ZAIDI YA KULA MALI ZETU PIA NA HASA HILI LA KILA SECTOR WAWEKEZAJI JE ITAFIKIA WAKATI HATA WAKE ZETU WATAWEKEZWA? NIJULISHENI WANA JF UMUHIMU WA CCM MPAKA LEO NI NINI...
  15. upele

    hapa kwetu

    mbele duka la kitaa
  16. upele

    Man of the people lion of africa

    next king
  17. upele

    Umeingia studio na kutoa single kali yenyewe

    ALBUM: ONE SONG ONLY: DEAR PENIS SONG “Dear penis ,Dear penis I don’t think I like you anymore You used to watch me shave Now all you do is stare at the floor Ooh, dear penis I don’t like you anymore It used to be you and me ..a paper towel, and a dirty magazine.. That’s all...
  18. upele

    Kondom kondom ni nzauri kwa afya

    napenda kuuliza wana jf kuhusu kondom ni mzuri kwa afya kwani nimekuwa nikitumia kwa wangu nachelewa sana kuliko dry kama wasemavo vijana,imekuwa nikitumia hisia sana katika tendo kwani huwa naona tofauti nitumiapo mpaka tunaamua kutoa,so nijuzeni inamadhara gani. Conquest-all created by human...
  19. upele

    Umasikini nao ni homa

    :blah::decision:HONGERA SANA BABU KWA KUWEZA KUGUNDUA TIBA YA HOMA ZETU LAKINI SWALI LINAKUJA KWAMBA UMASIKINI NCHINI UPO TENA SANA JE HAKUNA TIBA AU MTABIBU WA KUGUNDUA TIBA MAANA HOMA HII IPO KWA ASILIMIA 98% TULIANGALIE SANA NA HILI JE THAMANI YA PESA ILI KUFIKIA HUKO KWA BABU NI NYINGI HAMA...
  20. upele

    Hivi watoto wa kimasikini wasome mpaka level gani?

    WANA JF NAULIZA HIVI WATOTOT WAKIMASIKINI WASSOME MPAKA LEVEL GANI WAPATE AJIRA AU KAZI KAMA WATOT WA HAO VIGOG MAANA INATIA UCHUNGU KILA SEHEMU NYETI WATOTO WAO SIE JE HAPO NDIPO KILIO CHANGU MPAKA NATAMANI KUJILIPUA SEHEMU HIZO ZAO NYETI KIELEWEKE MOJA,NISAIDIENI HILI MAANA KILA SIKU...
Back
Top Bottom