Tuliko toka jamani

Tuliko toka jamani

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
364
Reaction score
31
Uwezi amini eti leo ni wabunge mungu mkubwaa kazi kweli kweli
IMG0193A.jpg
 
Kutoka kulia ni Anna Kilango Malechela! Anayefuata ni muheshimia Freeman Mbowe! Halafu wa mwisho muheshimiwa Zito Kabwe!
 
Mi nadhani huyo wa kiume katikati ni Tundu Lisu anafanana naye sana.
 
Mmmmmh sasa walikutana wapi utotoni??? Mmoja SAME,mwingine MACHAME-HAI na Mwingine KIGOMA
 
Kutoka kulia ni Anna Kilango Malechela! Anayefuata ni muheshimia Freeman Mbowe! Halafu wa mwisho muheshimiwa Zito Kabwe!
Tarehe za kuzaliwa:
Kilango: January 9, 1956 (20yrs older than Zitto)
Mbowe: September 14, 1961 (15yrs older than Zitto)
Zitto: September 24, 1976
Hebu cheki tena hizo picha na linganisha na tarehe hizo.
 
Back
Top Bottom