ndenga JF-Expert Member Dec 20, 2010 1,788 1,302 Feb 15, 2012 #3 Duh, hiyo menu haina formula kabisa. Unajua ukila wali nyama ukaongezea na ndizi mbivu just after kula jumlishia na zambarau hapa sipati picha..
Duh, hiyo menu haina formula kabisa. Unajua ukila wali nyama ukaongezea na ndizi mbivu just after kula jumlishia na zambarau hapa sipati picha..
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Feb 15, 2012 Thread starter #4 woga wako tuu haya we penda ma chilli na tomatos pia acha vitu vya supermakert
Typhoid JF-Expert Member Feb 7, 2012 223 66 Feb 15, 2012 #5 Afya bwana! Mwili haujengwi kwa tofari! Wabongo hawapendi afya zao unakuta mtu anakula ugali anashushia gongo
Afya bwana! Mwili haujengwi kwa tofari! Wabongo hawapendi afya zao unakuta mtu anakula ugali anashushia gongo