Gari lichomwe moto halafu tairi zisiungue? Moto gani huo?Gas kwanza uhai baadae
View attachment 80713
wabongo tunapenda sana kugushi hapa inaonyeshaHilo gari mbona halina dalili kuwa liliteketezwa kwa moto?
Angalia gari lililoteketea kwa moto linavyokuwa.
![]()
kwa ufupi ningekuwa mod wa zamu ningekupa ban ya kama aka 5 hivi, gari likichomwa moto linajikunja? halafu tairi zinabaki kama kawa bila kuungua ? unatumia masaburi?Gas kwanza uhai baadae
View attachment 80713
kwa ufupi ningekuwa mod wa zamu ningekupa ban ya kama aka 5 hivi, gari likichomwa moto linajikunja? halafu tairi zinabaki kama kawa bila kuungua ? unatumia masaburi?
Gas kwanza uhai baadae
View attachment 80713
hilo hata kitu akikibakia zaidi ya frame tu kwani kumbukeni kijijini kuni zakumwaga walikuwa wamelikweka kama kwenye tanuru ihope mutakuwa sasa mumeelewa ahhaaa ndibalema naweeehilo gari mbona halina dalili kuwa liliteketezwa kwa moto?
Angalia gari lililoteketea kwa moto linavyokuwa.
![]()
Uko wapi moto
MadameX hujambo?
Mzima na wewe je?