Hivi watoto wa kimasikini wasome mpaka level gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi watoto wa kimasikini wasome mpaka level gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, Jan 25, 2011.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WANA JF NAULIZA HIVI WATOTOT WAKIMASIKINI WASSOME MPAKA LEVEL GANI WAPATE AJIRA AU KAZI KAMA WATOT WA HAO VIGOG MAANA INATIA UCHUNGU KILA SEHEMU NYETI WATOTO WAO SIE JE HAPO NDIPO KILIO CHANGU MPAKA NATAMANI KUJILIPUA SEHEMU HIZO ZAO NYETI KIELEWEKE MOJA,NISAIDIENI HILI MAANA KILA SIKU ZINAZOENDA MAMBO YANAKUWA MAGUMU KWA MASIKINI ILA WAO NA WATOTO WAO SHWARI.
  cONQUEST-ELIMU TANZANIA NI KAMA UBISHOO WA KUVAA NGUO SIO DILI:nono:
   
Loading...