Search results

  1. R

    Wana-CHADEMA wengi wajitokeza kugombea Uenyeviti wa Vijiji na Vitongoji Muheza

    Wanajamvi habari zenu, Kama mjuavyo tunaelekea kwenye uchaguzi wa vijiji na vitongoji nchi nzima,taarifa za CHADEMA Muheza mpaka sasa wana chadema Muheza wamejitokeza kugombea,mpaka sasa nusu ya vijiji 74 na vitongoji 521 wagombea zaidi ya mmoja wamejitokeza kwa kutia nia ya kugombea. Hapa...
  2. R

    Tamko la vijana weledi wa vyuo vikuu tanzania

    Taarifa kwenu wana jamvi na wanavyuo wa vyuo vikuu;tamko lililo tolewa na wanao jiita wanafunzo wazalendo wa vyuo vikuu sio tamko la wanavyuo kama walivyo danganya,kwanza vyuo vikuu wanafunzi wapo field na wengine wapo likizo,so watoa tamko wamekete wapi na wanavyuo walivyo taja na kujadiliana...
  3. R

    Shehena ya pikipiki za CHADEMA awamu ya pili zapokelewa makao makuu

    Wanajamvi, Taarifa za uhakika toka makao makuu CHADEMA ni kwamba shehena kubwa ya pikipiki awamu ya pili zimeshafika makao makuu CHADEMA kwa ajiri ya kugawanywa majimbo yote yaliyobakia Tanzania kwa lengo la kurahisisha ujenzi wa chama katika majimbo,kata na vijiji,ama hakika CHADEMA...
  4. R

    Aminata Saguti achaguliwa kwa kishindo Korogwe

    Taarifa za uhakika kamanda aminata saguti amechaguliwa leo kuwa mjumbe wa chadema mkutano mkuu taifa akiwakilisha wilaya ya korogwe,kamanda amepata kura za kutosha hii imetoa picha anakubalika,hongera sana kamanda
  5. R

    Chadema kata ya tongwe na zirai muheza za pata ofisi mpya

    Katika hali ya kuonyesha sasa muheza chadema ndio habari ya mujini,kata ya tongwe imepata ofisi ya chama iliyopo kitongoji cha zimbiri ambapo ndipo makao makuu ya kata,ofisi hiyo iliyo tokana na nguvu za wanachama,wadau na wapenzi wa chadema katika kata hiyo imekwisha anza kutumika huku ccm...
  6. R

    Uchaguzi wa CHADEMA Muheza 23/8/2014

    Habari wana jamvi,baada ya kuakhirishwa uchaguzi wa chadema muheza,leo kamati tendaji imekaa na kutoa taarifa kuwa uchaguzi utaendelea tarehe tajwa hapo juu hii ni kutokana na kifo cha mzee rashid mwengo ambe amezikwa jana,pia ikumbukwe kuwa mabaraza tayari wamechaguana nafasi zitakazo pigiwa...
  7. R

    Ukawa kuanza oparesheni mkoa wa dar 6/8/2014

    Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati...
  8. R

    Chadema muheza hongereni kwa ubunifu kuntu

    Wana jamvi katika mambo leo yamenifanya nipate faraja na chadema muheza ni ubunifu mkubwa walio kuja nao,leo kamati ya utendaji ya chadema(w) katika kikao chake cha leo cha maandalizi ya uchaguzi pamoja na mambo mengine kubwa lenye tija kwa chama ni kupitisha azimio la kuunda kamati maalum ya...
  9. R

    Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

    Chama cha demokrasia na maendeleo kinapenda kuwatangazia makamanda wote wa CHADEMA toka pempe zote za Tanzania waje Muheza waone CHADEMA inavyokua kwa kasi lakini pia waje kuongeza nguvu ya kuijenga CHADEMA Muheza. Tunapokea makamanda kote nchini waje tushirikiane kuijenga CHADEMA Muheza yenye...
  10. R

    Uchaguzi CHADEMA Muheza rasmi 9/8/2014,wagombea 50 wachukua fomu

    Taarifa rasmi zimetoka leo toka kwa katibu wa chadema(w)muheza ndugu lukindo mohamed kuwa tarehe tajwa hapo juu ndio rasmi kwa uchaguzi wa chadema muheza ngazi ya wilaya,awali uchaguzi ulitegemewa kufanyika mapema 2/8/2014 lakini kikao cha pamoja kati ya viongozi wa kanda,wilaya na wajumbe wa...
  11. R

    Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Muheza, 50 wachukua fomu

    Taarifa kwenu, Uchaguzi 2/8/2014 kwa ngazi ya wilaya mpaka leo wanachama 50 wamechukua fomu na kuzijaza kuomba kuteuliwa kugombea katika nafasi mbali mbali. Hakika CHADEMA Muheza inapaa kila uchao. Tahadhari kwa wagombea,wapambe na mamruki wote watakaogawa rushwa mtandao wa idara ya usalama...
  12. R

    CHADEMA Muheza yaanzisha masanduku kukusanya maoni mbali mbali ya Wananchi

    Chama cha demokrasia na maendeleo chadema muheza,kimeanza kuweka masanduku yenye nembo za chama katika maeneo mbali mbali ya wazi na yenye mikusanyiko ya watu wengi kama stand,sokoni,hospitalini,nk ili kukusanya maoni na maduku duku ya wananchi kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo...
  13. R

    CHADEMA Muheza kata ya Bwembwera yaanzisha ligi

    Wana jamvi leo tunapenda kutoa taarifa kuwa chadema kata ya bwembwera wameanzisha ligi ya mpira wa miguu kwa timu zote za kata ya bwembwera,lengo kukitangaza chama na kuwakusanya vijana na wazee maana kuna mashabiki,kata ya bwembwera chama kinafanya kazi vyema kwa uratibu wa kamanda mpenda ambae...
  14. R

    Uchaguzi CHADEMA Muheza 24 wachukua fomu kugombea

    Wana jamvi makamanda wa CHADEMA wameendelea kumiminika ofisi ya CHADEMA kuchukua fomu kwa ajiri ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi ngazi ya wilaya kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA. kwa hali ilivyo sasa CHADEMA inakua muheza kwa kasi nzuri maana uchaguzi wa tarehe 2/8/2014 utawakutanisha...
  15. R

    Asanteni kwa kuendelea kuniunga mkono tangu kutangaza nia ya kugombea uwenyekiti bavicha taifa

    Napenda kutoa shukrani zangu kwenu makamanda wote mliemo jf kwa kuniunga mkono kwa ushauri na pongezi mnazo endelea kunipa tangu nilipo tangaza nia hiyo,endeleeni kufanya hivyo makamanda msichoke japokuwa wapo magamba humo wanajaribu kunikatisha tamaa kwa namna moja ama nyingine lakini pia...
  16. R

    Natangaza nia ya kugombea Uenyekiti BAVICHA Taifa

    Wana jamvi kwa heshima ya chama chetu CHADEMA nimeamua kutangaza hadharani kugombea nafasi ya uwenyekiti wa vijana chadema taifa,uwezo wa kitaalum ninao UDSM graduate 2010. Ni mwanachama wa CHADEMA tangu 2007,kwa sasa ni mwenyekiti wa taskforce(w) muheza lakini vile vile mimi ni mratibu wa...
  17. R

    Poleni Tanga, Wabunge wenu ni Mizigo

    Wana jamvi katika tathmini yangu mkoa wa tanga ni miongoni mwa mikoa yenye rasilimali na mazao mengi ya biashara ikiwemo ukanda mrefu wa kibiasha wa bahari ya hindi laki wabunge wake ni mizigo,naombeni tuwatathmini wabunge wa majimbo 11 ya mkoa wa tanga lakini pengine kuna mikoa mengine ina...
  18. R

    Uchaguzi chadema muheza makamanda 9 wachukua fomu jana na leo tu!

    Chama cha demokrasia na maendeleo chadema muheza kinapenda kutoa taarifa kuwa,leo ni siku ya 2 tangu kuanza kutoa fomu za kugombea nafasi za uongozi wilaya,wanachama 9 tayari wamejitokeza kuchukua fomu,muda bado upo karibuni makamanda,29/7/2014 saa 4 jioni ndio mwisho wa kuchukua na kurudisha...
  19. R

    Vijana wa UDOM tuna malalamiko kwa January Makamba

    Wana jamvi kwa ufupi zaidi,mwaka 2010 ndugu j,makamba alikuja udom akakusanya wanafunzi wote wanao tokea tanga na wakutoka mikoa mingine,tukaitika kwa wingi katika kikao kile akaomba tukamsaidie bumbuli kupiga kampeni achaguliwe kuwa mbunge kuanzia kura za maoni CCM. Baadae katika uchaguzi...
  20. R

    Jimbo la Bumbuli hoi kimaendeleo

    Wanajamvi pole kwa majukumu ya kila siku, Tunawaomba mpeni taarifa mbunge wetu atekeleze ahadi zake jimboni kwake maana mwaka wa 4 hali huku jimboni si shwari. Kwa niaba ya wapiga kura wa jimbo la Bumbuli tunamtaka aje aanze na matatizo ya kiwanda cha chai Mponde ambayo ni ya muda mrefu sasa...
Back
Top Bottom