Aminata Saguti achaguliwa kwa kishindo Korogwe

Aminata Saguti achaguliwa kwa kishindo Korogwe

Taarifa za uhakika kamanda aminata saguti amechaguliwa leo kuwa mjumbe wa chadema mkutano mkuu taifa akiwakilisha wilaya ya korogwe,kamanda amepata kura za kutosha hii imetoa picha anakubalika,hongera sana kamanda

Riziki magembe nakushukuru sana kwa wema wako wa kutushirikisha neema za korogwe .
 
Nina mfahamu Aminata. Nina imani nae. Namtakia kila la heri. Ajue na aelewe kuwa Chadema haitavumilia Usaliti wala haitamwonea haya msaliti. Aminata piga kazi mama, marafiki zako tunaokufahamu tuna imani na wewe
 
Back
Top Bottom