Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wanajamvi,
Taarifa za uhakika toka makao makuu CHADEMA ni kwamba shehena kubwa ya pikipiki awamu ya pili zimeshafika makao makuu CHADEMA kwa ajiri ya kugawanywa majimbo yote yaliyobakia Tanzania kwa lengo la kurahisisha ujenzi wa chama katika majimbo,kata na vijiji,ama hakika CHADEMA imejipanga vilivyo!
Pia mtoa taarifa amesema kuwa awamu ya 3 na 4 ya shehena za pikipiki bado ipo china inapakiwa kwenye makonteina kwa ajiri ya kuletwa Tanzania kwa ajiri ya tarafa zote Tanzania,hivyo wanachadema wajiandae kufanya kazi kwa bidii zaidi kuelekea uchaguzi wa vijiji na vitongoji hatimae uchaguzi mkuu mwakani!