Ukawa kuanza oparesheni mkoa wa dar 6/8/2014

Ukawa kuanza oparesheni mkoa wa dar 6/8/2014

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati na watu maarufu nchini watagawana kata za mkoa wa dar kupiga mikutano ya hadhara kwa siku 4 mfurulizo na hatimae kuhitimisha mkutano wa hadhara mkubwa jangwani ambao timu nzima ya ukawa bara na znz itakuwepo jangwani,hivyo wananchi jiandaeni na kuwapokea ukawa dar kwa fujo!ccm hawaponi kwa dhambi ya kunyonga maoni ya wananchi
 
Bila Ukawa hakuna Katiba mpya, maoni ya wananchi kwanza ya CCM Lumumba.
 
Wakawadanganye arusha na moshi na kibanda maiti dar hakuna ----
 
sasa hapo patamu, lazma kieleweke, ccm wanafikiri waTz ni mbulula kama wao, pamoko UKAWA
 
Mkuu Magembe naomba hizi tetesi ziwe kweli hivi patachafukaje.....!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Kule wanadanganyika ila siyo Dar hapa ni bongo bhana mbululazi wako huko

Kwenda kule gamba la kisigino wewe....ndio mtaisoma hiyo nyie nendeni bungeni UKAWA wanaenda kwa wananchi tuone nani zaidi.

BACK TANGANYIKA
 
Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati na watu maarufu nchini watagawana kata za mkoa wa dar kupiga mikutano ya hadhara kwa siku 4 mfurulizo na hatimae kuhitimisha mkutano wa hadhara mkubwa jangwani ambao timu nzima ya ukawa bara na znz itakuwepo jangwani,hivyo wananchi jiandaeni na kuwapokea ukawa dar kwa fujo!ccm hawaponi kwa dhambi ya kunyonga maoni ya wananchi

sa hv inaitwa dhambi ya kuondoa moyo wa katiba
 
Busara imekosekana kabisa jamani! Rais wangu nakuomba chondechonde vunja BMK mchakato utaendelea 2016.
 
Kama kweli itakuwa hivyo,itakuwa vyema kwani ni jambo jema kutetea maoni ya wananchi na hapo itakuwa soo kwani intarahamwe lazima waingie msituni.
 
Wafanye haraka waje wazomewe ila sisi tutakuwa tunaendelea na bunge la katiba.
 
Back
Top Bottom