Search results

  1. M

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Our Country is very beautiful. GOD bless Tanzania.
  2. M

    Kesho jumamosi kutakuwa na kikao cha tanzania graduate association. Mwambie mwenzio!!!

    Mimi niligrauate mwaka 1981. Je na mimi naruhusiwa kuja kwenye kikao?
  3. M

    Asikari huyu ni mwonevu watu wa Pcb nisaidieni

    Rushwa ndugu yangu inaimaliza nchi hii licha ya viongozi wa serikali kukemea kwa maneno na siyo vitendo. Pole ndugu yangu.
  4. M

    Tanzania rejects EAC single tourist visa plan

    I totally agree with Hon. Sitta. Tanzania has so many tourist attractions but many tourists come to Tanzania through Kenya and then come to Tanzania. In this regard Tanzania will be a looser only getting $30 but Kenya will get $70.
  5. M

    Uvumilivu unanishinda jamani....

    Uko sawa kabisa ni lazima achangie kwa ajili ya elimu ya mwanaye. Kwa uzoefu watoto wengi wanapofanikiwa kwa asilimia kubwa huwa huegemea sana kwa Mama na huyo ndiyo anayefaidi matunda ya mtoto.
  6. M

    Nyumba inauzwa

    weka picha. Tabata nyumba Tshs.400,000,000?
  7. M

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Hapa sheria ya manunuzi ya Umma umekiukwa kabisa lakini lawama zimwendee Mkurugenzi Mtendaji aliyekuwepo kwa kuacha mambo yaende kiholela akimwogopa Mstahiki Meya. Baadhi ya Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri ni watu wa kuogopwa sana. Baadhi yao wako pale kwa masilahi yao na siyo maendeleo na...
  8. M

    Wema Sepetu Kurudiana Na Diamond Platinumz Imekuwa Laana Kwa Nyota Yake!!!

    Sisi wanaume tuwe macho sana na mahawara. Kwako kunawezekana hata hela ya dagaa hakuna lakini kwa hawara ananunuliwa anachotaka iwe gari, kujengewa nyumba, samani n.k. Hii ni laana gani mwisho wa siku unapigwa teke.
  9. M

    Nmefaham Kumbe Yanga hawakwenda Kujifua Uturuki!

    Yanga wanaharibu fedha zao kuliko kufanyia shughuli za kimaendeleo. Ngoja warudi waje watandikwe na Wekundu wa Msimbazi.
  10. M

    Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

    Hao wajitayarishe kupata hasara kubwa. Watanzania hawana utamaduni wa kununua vitu kwenye supermarkets. Wanapenda kununua kwenye masoko kama kilombero - Arusha, Kariakoo n.k.
  11. M

    Tanzanians kill each other over land

    Village leadership is the main source of land problems in this country. The so called fake investors come with bribes and they eventually sell the village land without knowledge of the village people. That is where the conflict starts to arise whereby the land becomes scarce for farmers and...
  12. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Naisubiri sana. Nimechoka kujipikia coz my wife hajapata uhamisho na mimi nimestaafu.
  13. M

    Mh Benjamini Mkapa peke yake ndie anayefaa 2015:

    Huyu Mzee alikuwa ngangari na hana mchezo na mtu ingawaje naye ana mapungufu yake. Mtu sahihi wa kusimamishwa na CCM ni Mzee Mkapa. Mtaona nchi itakavyopaa.
  14. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Kuna dawa inaitwa LIFE inatangazwa sana kwenye Star TV nunua na ufuate masharti yaliyoandikwa. naamini dawa hii itakusaidia sana.
  15. M

    Hadhi ya Ernie Brandts, Shoka la Manji na Sarakasi zetu

    Brandts amefanya kazi kubwa kwenye Klabu ya Yanga. Msimu huu kama Brandts angekuwepo Yanga wangeutwaa ubingwa tena. Mimi naona ni fitina dhidi ya Brandts na kwa tabia hii ya jeuri ya pesa Yanga haitafika mbali. Umaskini ni kitu kibaya sana. Klabu ya Yanga kila kitu wanamtegemea Y. Manji na...
  16. M

    House for sale

    Weka picha ya nyumbs.
  17. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Mambo ya kuchafuana hayana msingi. Wewe Zitto unatakiwa ujibu hoja. Wewe unajua fika kuwa mwisho wako umefika. Utakosa ubunge, Uenyekiti wa PAC na itabidi uanze moja na itakuchukua miaka mingi kufikia mahali ulipo sasa.
  18. M

    je hii ni halali?

    Usichangie. Nashauri muandike jina la mtoto wenu.
  19. M

    Moyes sio kocha sahihi wa manchester

    Mimi ni mpenzi wa Man U. Nashauri Moyes atimuliwe mara moja. Hatufai kabisa.
  20. M

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Mhe. Rais tusaidie suala hili la Tanesco. Sisi watoto wako tunaumia kiasi kwamba tumeshindwa kuvumilia. Tutaenda wapi na nchi ni ya kwetu.
Back
Top Bottom