Search results

  1. Kanali G

    Ni yupi MwanaJF bora kwa mwaka 2022

    Mwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali. Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande...
  2. Kanali G

    Wachezaji hawa hawana vya kuendelea kuchezea timu walizopo.

    Kila mwaka msimu wa usajili timu mbalimbali husajili wachezaji ili kuimalisha vikosi vyao, bahati mbaya baadhi ya timu husajili wachezaji ambao wanakuwa na mchango mdogo kwenye timu zao hivyo kuwa mzigo. Wafuatao ni baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa magarasa kwenye timu hizo. Yanga Makambo...
  3. Kanali G

    Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

    Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
  4. Kanali G

    Msaada: Hotel, Lodge nzuri Moshi

    Natarajia kwenda Moshi kwa muda wa wiki mbili, naomba msaada wa Hotel au Lodge nzuri ambayo gharama yake ni elfu 30
  5. Kanali G

    Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama...
  6. Kanali G

    Koffi Olomide ndiye Mwanamuziki bora wa muda wote DRC

    Wengine wanaweza wasikubaliane nami kuhusu hili kwa kuwa kuna wakongwe kama Luambo Luanzo Makiadi, Pepe Kalle, Kanda Bongoman na wengineo ambao walivuma kipindi cha nyuma. Ila huyu mwamba tangu aibuke amekuwa akitoa vitu vikali mwaka hadi mwaka. Nimesikiliza kitu chake kipya Acquitte...
  7. Kanali G

    Michango ya Ujenzi wa Uwanja wa Simba umefikia wapi?

    Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya hapo imekuwa kimya. Tungependa kujua maendeleo ya uchangiaji huu wa Ujenzi wa Uwanja.
  8. Kanali G

    Ujio wa kocha mpya Simba,Atafanikiwa kwa wachezaji gani?

    Nimekuwa nikiona maoni mbalimbali kwa mashabiki wa Simba juu ya uwezo wa kocha wao mpya kuwa juu. Ili kocha yoyote aweze kufanikiwa pamoja na uwezo wake wa mbinu na ufundishaji ni lazima awe na wachezaji wa maana, nikiangalia kwenye kikosi cha sasa cha Simba kina wachezaji wa kawaida sana sehemu...
  9. Kanali G

    Member waliopotea JF

    Tangu nijiunge JF kumekuwa na watu kwenye majukwaa tofauti kuwa active wakichangia hiki na kile. Kwa sababu tusizozijua watu hao kwa sasa hawapo, hawa hapa ni baadhi yao Lizaboni Simiyu Yetu @Shyland miss chagga @Karauche Munkari MUSSA ALLAN Gentamycin Nifa The bold Je wewe unamkumbuka nani na...
  10. Kanali G

    Yanga kuipoteza zaidi Simba leo

    Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika...
  11. Kanali G

    Umegegeda Wanawake wengi wenye jina lipi?

    Hii coincidence huwa nashangaa mpaka leo, katika mahusiano tangu nilipoanza imetokea Wanawake wenye jina la Emmy kuwa nao watano tofauti. Anna watatu na Halima wawili, kwako ni jina gani lililojitokeza sana?
  12. Kanali G

    Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

    Nataraji kuwa na safari ya Wiki mbili kwenye Mikoa ya Lindi na Mtwara, naomba kufahamishwa Lodge nzuri isiyozidi gharama ya Tshs 40,000/= pamoja na maeneo ninapoweza kupoza koo huku nikifaidi uumbaji wa manani.
  13. Kanali G

    Tusioenda Uwanja wa Taifa tujuzane Viwanja vya kwenda shuhudia Stars.

    Kama tunavyojua leo timu yetu ya Taifa itakuwa ikitafuta tiketi ya Afcon.Kwa wale tutakaokosa nafasi ya kwenda Uwanjani tujuzane sehemu ya kwenda shuhudia mtanange huo,binafsi nafikiria kuwa maeneo ya Kilimani pub Kimara au 40-40 Tabata nikitaraji kunywa Castle lite kwa buku. Nina mshikaji yuko...
  14. Kanali G

    Kocha Ranieri atimuliwa Fulham

    Kocha mkuu wa timu ya Fulham ametimuliwa kufuatia kipigo cha mabao2-0 kutoka kwa timu ya Southmpton. Kocha huyo aliyewahi kuiongoza Leicester city kutwaa ubingwa wa England alipata ushindi mara moja katika michezo 16 aliyoiongoza timu hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kanali G

    Kotei, Dante Wafungiwa

    Kiungo wa Simba James Kotei na Beki wa Yanga Andrew Vicent wamefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga Gadiel Michael na Mohamed Hussein, wote wamepigwa faini ya tshs Milioni moja.
  16. Kanali G

    Wasanii wanaotumia "Unga"

    Imekuwa ni tabia ya Wasanii wengi kutumia Ngada wanapopata umaarufu hali inayopelekea vipaji vyao kuzimika kama mshumaa jangwani. Hivi karibuni kumekuwa na tetesi za Msanii darasa kuwa katika kundi hilo, ukiacha huyo wapo pia akina Chidi, Kiuno bila mfupa na yule wa Nibebe. Ukiachana na hao ni...
  17. Kanali G

    Tetesi: Kocha msaidizi wa Simba Mssoud Djuma afungashiwa virago

    Kuna tetesi nimezisikia kwenye vijiwe kuwa kocha msaidizi wa Simba Mrundi Masoud Djuma Mkataba wake umesitishwa, mdau mwenye taarifa zaidi atiririke. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Kanali G

    Tujikumbushe Wachezaji wanaotoka mkoa wa Kigoma

    Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao 1. Edibily Lunyamila 2. Seleman Matola 3. Wilfred Kidau 4. Alphonce Modest 5. Said Sued "Scud" 6...
  19. Kanali G

    Kwanini vigezo na masharti havitajwi?

    Mara nyingi tumesikia matangazo mbalimbali yakihamasisha jambo fulani, mwisho mwa Tangazo utasikia vigezo na masharti kuzingatiwa. Ni kwa nini hivyo vigezo na masharti visisemwe ili kama mtu utaamua kushiriki na ukishindwa kusiwe na sababu?
  20. Kanali G

    Geita yaongoza kwa wanaume kutofanyiwa tohara

    Mkoa wa Geita umetajwa kuwa na wanaume wengi ambao hawajafanyiwa tohara kati ya mikoa saba ya Tanzania bara ukifuatiwa na Mikoa ya Mwanza na Mara, jambo ambalo linaweza kusababisha kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Chanzo Clouds Habari.
Back
Top Bottom