Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,897
Reaction score
14,455
Nataraji kuwa na safari ya Wiki mbili kwenye Mikoa ya Lindi na Mtwara, naomba kufahamishwa Lodge nzuri isiyozidi gharama ya Tshs 40,000/= pamoja na maeneo ninapoweza kupoza koo huku nikifaidi uumbaji wa manani.
 
Lindi nenda kadogoo inn ....mtwara sijui
 
Kuna kijiji kinaitwa Nanyamba una kifahamu Zeshchriss.
Mpenzi huko nakusikia tu mi nipo mtwara mjini .....na hata hapa pia kuna maeneo siyafahamu kabisaaaa nasikia tu kwenye redio zao hizi
 
Huko sio mwenyeji nikajua ni wa kunyumba 😀😀😀
 
Ila huko utainjoi mama nilipo kuwa huko nilijihisi niko nyumbani watu wa huko ni wakarim mno.
Shida ya huku dear maisha magumu mnooo....bidhaa bei zake zipo juu mawinguni....

Kwenye inshu ya ukarimu ni kweli wamakonde ni wakarimu tu
 
Mpenzi huko nakusikia tu mi nipo mtwara mjini .....na hata hapa pia kuna maeneo siyafahamu kabisaaaa nasikia tu kwenye redio zao hizi
Inawzekanaje tup sote mjini hapa bila kufahamiana jaman
 
[emoji16]Nipo zangu mwaka wa 20 sasa
Mmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we si umesema umezaliwa iringa hapa mwaka wa ishirini vipi wakati thread zako zinasema una miaka 25
 
Kwa Mtwara ushindwe mwenyewe tu.
Kuna Naf Hotel,Naf Beach Hotel,Luwa Evergreen Hotel,BNN Royal Hotel,Msemo Beach,Old Boma,Korosho Lodge&Hotel,Tiffany Diamond Hotel kutaja chache tu.
Hizo nyingi unazipata google na Trip advisor. Unaweza kuangalia moja baada ya nyingine,chaguo ni lako.
 
Mmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we si umesema umezaliwa iringa hapa mwaka wa ishirini vipi wakati thread zako zinasema una miaka 25
Yah mnyalukol mie tulihamia since 2004 until now cjui miaka mingap imepita hapa
 
Back
Top Bottom