Search results

  1. mwilawi

    Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Yanga yenyewe ndio mara ya kwanza kugusa makundi ya CAF baada ya miaka nenda rudi .
  2. mwilawi

    Dalali wa pilipili mwendokasi masoko ya Dar es Salaam

    Mimi mkulima wa pilipili mwendokasi niko Dodoma mvumi. Naomba nipate connection na madalali wa masoko ya Dar es Salaam
  3. mwilawi

    Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

    Kwani TFF ndio mwisho , kama hawajatenda haki basi fei anaweza kuwashitak caf
  4. mwilawi

    Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Hao al hilal siku zote wana chuki kibwa sana na simba kwasababu simba alishawafanya vibaya sana toka miaka ya nyuma.
  5. mwilawi

    Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
  6. mwilawi

    Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Nilimpelekea matunda akasema labda ni aina ya mbegu
  7. mwilawi

    Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  8. mwilawi

    Huyu Mayele ni bonge la mshambuliaji

    Ni kweli ni hatari ila kusema kuwa ni hatari bila kulinganisha takwimu za michezo aliyocheza na idadi aliyofunga na kisha kulingamisha na takwimu za waliopita ndani ya miaka hiyo uliyotaja nadhani umekosea sana. Nakushauri hoja yako ijikite sana kwenye takwimu zaidi
  9. mwilawi

    Usinunue simu za zamani zenye umri zaidi ya miaka 4

    Mm niko na huawei mate 9 ya siku nyingi sana na imeupdate hadi adroid 9 na inakimbiza balaa
  10. mwilawi

    Unajua kwanini ufanye factory reset process Kwenye simu ?

    Simu za low end nyingi ndio zinaganda ganda mimi natumia ka huawei y9 2019 na huu ni mwaka wa nne lakina hata haigandi
  11. mwilawi

    Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

    Sijui ila mimi kila niki install browser yoyote inaliwa fasta pia pc imekuwa slow sio kawaida
  12. mwilawi

    Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

    Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
Back
Top Bottom