Search results

  1. R

    Hi

    mmmmh, halo halo, pita mpaka chumbani mwayego
  2. R

    wachina noma!

    hiyo pia ndo maana ya wachina noma
  3. R

    Asante kwa Award

    tukimaliza kazi tutavalishwa taji, tukumalila twimbombo twiza ku vwala indiga''''''''''''''''''''''''
  4. R

    Uvaaji mwingine mmh !!

    nahisi file limeshavamiwa na trojan , internet cafe za kibongo mchezo??
  5. R

    Uvaaji mwingine mmh !!

    Kwisha habari yake, IT mchezo??, si mpaka anayejua kuattach picha awepo.......!!!, pitia daftari tena mama, hatulali mpaka tuzione hizo picha lol
  6. R

    Nafasi za kazi nchini Botswana

    Botwana hakuna kazi, nenda afghanistan, kazi kibao, computer zinasubiri watu
  7. R

    Anamkonyeza..

    Punguza uoga mtoto wa kike, kukonyezwa tu unasema, je akiweka kimiani??? akukonyezae nawe mkonyeze (mtoto wa kike hovyo)
  8. R

    Gharama za simu kwa sasa

    lol, mwanangu, maendeleo yamekuwahi ulikuwa bado hujajiandaa. kama unavijisent vya mawazo uza mobile uwasiliane kwa barua bana!! posta bado zipo.
  9. R

    Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

    ..ala..........shindwa shetani, tokaaaaaaaaaaaaa!!%%$#@*&^%$#@!!@#:><"_+&*%$#@
  10. R

    Wanawake WAJAWAZITO

    lol Salamuu Maria......mmmh, hiii dunia kwisha kazi yake!!!, sasa si uende wodini ukamalize hamu, nikikuona nyuma ya mama watotowangu walahi, nakushusha busha lol.
  11. R

    Wabongo 5 na Muiran 1 Wakamatwa na Heroin

    nadhani zilikuwa kg 100, maafande waeleze vizuri wapi hizo 5 kgs??? siamini unga lol
  12. R

    HI!!!

    Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe! Kijiwe wapi jioni??? cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8
  13. R

    Dhana ya Bikira

    mabinti msikonde, narudisha bikra kwa msichana na wavulana. yeyote aliyepoteza katika hali yoyote, wiki moja tu. wazo la vyeti poa, nalifanyia kazi kwa watakao taka - karibuni hata wenye ndoa.
  14. R

    Picha za warembo siku ya Valentine

    yaani kuacha mapaja nje ndo urembo?? miguu myeusi, imepinda, makovu kibao, maumbo ya kabati, mtindi lol, Tembeeni japo somalia, ethiopia!!, lol kumbe ndo maana picha nyingi hapa JF za ku-copy mmmmh, masela tukaoe kwa zenawi tuokoe Taifa, siku za usoni tutakosa miss Tanzania, kama hawa nao...
  15. R

    Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

    kula kula tu, kibaya kukomba mboga! huyo mshikazi tunaita msukule, mi ningeshawa-sodoma -wote, hebu nipe anuani yako uone, ala!!! yaani uchukue vocha yangu uchomoe, walahi ukishachukua vocha yangu ujue imekula kwako!!
  16. R

    Msikilize Mmsaai Akibembeleza

    Nakuhisi muungwana chonde-chonde-chonde- usiondoe redio yako chumbani, endelea kurekodi tusikie na upande wa pili, je mama nanii alikubali mapatano au la!! next time nenda karekodi Tarime kwa Chacha pia.
  17. R

    Huu ni wivu au ni msimamo mkali?

    ero murra kama ni wewe muhusika tuambieee ukweli usizuge suge murraa!! duuu, nani huwa anamfungulia mlango huyo shori???, eebw. hii ndo limbwata au!!!siamini iiiiiiiiiiii mbado muraa, lol naomba nielekeze hiyo baa na duka lenu liliko mura
  18. R

    JK apata PhD ya International Relations

    PhD bila shule (thesis) ni sawa na compyuta bila operating system. Before international relations let us think about internal relations!! kamua baba nchi bado mbichi. "amesegnalehu"
  19. R

    Hivi hawa wanaishiaga wapi?

    Pape KULA NDIZI NA MAGANDA YAKE BABA, UKO SAWA KABISAAAAAA MTU WANGU
  20. R

    Suzuki escudo NOMADE inauzwa

    kaaaah!! ndo mana mimi gari zangu naagiza toka Japan. Gari ya tangu Mzee Ruksa akiwa na hatamu mil 14, labda kama ni pesa ya Zimbabwe. Waungwana bonyezeni hapa kama mnataka usafiri. <http://www.autorec.co.jp/used-cars-list.php>
Back
Top Bottom