Msikilize Mmsaai Akibembeleza

hahaa niko chini ya matendegu yako...lol...wanaume wote wangekua romantic kama huyu yero ingekua safi sana.
 
nimefungua kidari ya moyo wangu............ nimeipenda hyo
 
Nakuhisi muungwana chonde-chonde-chonde- usiondoe redio yako chumbani, endelea kurekodi tusikie na upande wa pili, je mama nanii alikubali mapatano au la!!
next time nenda karekodi Tarime kwa Chacha pia.
 
Wana JF wenye matatizo ya ndoa "mezeni" hii itasaidia sana!! ...hakuna binadamu anaishi kama malega wote sisi ni wakosaji....mwaaaa tena
 
Usiku ni tulivu eti chini ya matendegu yako...! Mmasai wa kizazi kipya huyo! Anajua kuomba usimruhusu kukaa jirani na binti yako kwenye senema. Anamchumu mva!
 
hebu tuma na wewe basi clip tusikie ukimulalamikia mama yeyoo malega wako..maana mi nilizani masai kafunika lol
 
hebu tuma na wewe basi clip tusikie ukimulalamikia mama yeyoo malega wako..maana mi nilizani masai kafunika lol
Bahati nzuri yangu mimi na maiwaifu wangu yanaishia, chumbani maana nikiyaanika hapa naogopa kuvunja nyumba za watu... Wakina'mama na kina dada wakataka mawasiliano nami... sasa inaweza kuwa balaa kwa waume zao...!
 
kumbe nyumba zinavunjika kirahisi namna hii.?hongera sana!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom