Search results

  1. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano - Profesa Makame Mbarawa ameweka jiwe la msingi katika uwanja wa ndege wa Chato wenye kiwango cha daraja la 4C unaojengwa kwa gharama ya Sh. Bilioni 39.15. Akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uliofanyika Novemba 4 , 2017, Waziri...
  2. the deadline

    Mtuhumiwa Escrow, Harbinder Sethi akimbizwa Muhimbili

    HATIMAYE mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Ruhusa ya mtuhumiwa huyo kupelekwa Muhimbili umetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Awali Taasisi ya Kuzuia na...
  3. the deadline

    CHILE: Ajirusha akiwa uchi kwenye kundi la simba

    Chile. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Franco Luis ameshambuliwa na kundi la simba baada ya kujirusha ndani ya bustani ya wanyama hao akiwa uchi. Luis aliwaacha mdomo wazi watu waliofurika kwenye bustani hiyo ya Santiago mwishoni mwa wiki...
  4. the deadline

    Gambo: Sina mpango wa kugombea ubunge jimbo Arusha Mjini

    Akizungumza leo Jumamosi katika mkutano na waandishi wa habari Gambo amesema wanaosambaza uvumi kuwa atagombea ubunge Arusha ni wanasiasa ambao hawajiamini na wameshindwa kutatua kero za wananchi. "Kazi ambazo nafanya kwa kushirikiana na wasaidizi wangu wakuu wa wilaya ni kutatua kero na...
  5. the deadline

    Je, ni kweli nyoka mwenye vichwa viwili wapo au ni hadithi?

    UKWELI KUHUSU NYOKA MWENYE VICHWA VIWILI Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka mmoja mzima lakini ana vichwa viwili vilivyokaa mbadala yaani nyuma na mbele. Nyoka hawa sana sana...
  6. the deadline

    Wakili Kibatala afunguka sakata la Tundu Lissu

    BAADA ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika) Tundu Lissu, baadhi yetu tuliamua kukaa kimya kwanza ili kutoa nafasi kwa tafakari (reflection) kuchukua nafasi...
  7. the deadline

    MKEMIA MKUU: Wanafunzi wanaoenda vyuoni wapimwe matumizi ya dawa za kulevya

    Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele kazungumzia umuhimu wa baadhi ya makundi ya watu kupimwa matumizi ya dawa za kulevya. Makundi aliyoyataja Mkemia Mkuu wa Serikali ni pamoja na wafanyakazi wanaoendesha mitambo na magari, wanafunzi wanaoenda kwenye vyuo vikuu kwa ajili ya masomo ya...
  8. the deadline

    UVCCM wamjibu Lowassa kuhusu kuwataka wanaCCM wahamie CHADEMA

    Masaa machache baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa kusema yapo maisha nje na kuwataka wanaCCM wahamie CHADEMA, sasa leo October 9, 2017 UVCCM kupitia kwa Kaimu Katibu Taifa, Shaka Hamdu Shaka, wametoa tamko.
  9. the deadline

    Wasio na ajira wanasafiri bure Scotland…..sababu?

    Kampuni ya ScotRail Alliance huko Scotland imetoa ofa ya kuwasafirisha bure watu wote ambao wanatafuta ajira pale wanapokwenda kufanyiwa usaili kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni kuwapeleka na kuwarudisha. Ofa hii pia ni kwa wote waliopata kazi tayari kwa kipindi cha mwezi mmoja baada ya kupata...
  10. the deadline

    Madini, Maliasili bado pasua kichwa

    Dar es Salaam. Wizara za Maliasili na Madini zimeendelea kuwa kinara wa kuondoa mawaziri kwa sababu tofauti baada ya Rais John Magufuli kuamuacha Profesa Jumanne Maghembe katika mabadiliko aliyoyafanya juzi. Maghembe, ambaye katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu uliopita alikuwa akikosolewa...
  11. the deadline

    Shule iliyozawadia magari wanafunzi wake, wametajwa top tena kitaifa

    Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura amewazawadia magari wanafunzi wake waliohitumu Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Waja Girls baada ya kutajwa kufanya vizuri masomo ya Sayansi kwenye matokeo ya kidato cha Sita 2017
  12. the deadline

    Je, Kangi Lugola kafumbwa mdomo kwa mwamvuli wa uwaziri au kapewa nafasi kutetea wananchi?

    Rais John Magufuli anaawaapisha mawaziri na naibu mawaziri aliowateua miongoni mwa hao akiwamo mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola anayekuwa naibu waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira). Lugola ni miongoni mwa wabunge wa chama tawala ambaye alikuwa akitekeleza wajibu wake wa...
  13. the deadline

    Kama aliyemuonyesha Nape bastola siyo askari, basi.......!!

    Machi 23 mwaka huu. Aliyewahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo. Na mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, alionyeshewa silaha (bastola) na mtu aliyedhaniwa kuwa ni skari aliyevaa nguo za kiraia. Akimzuia Nape kufanya mkutano alioupanga, akimuamuru kuingia ndani ya gari na kuondoka...
  14. the deadline

    PIRAMIDI YA AFYA: kichefuchefu na kutapika kwa wajawazito

    Kupata tatizo la kichefuchefu na kutapika katika hatua za awali za ujauzito hasa asubuhi, ni jambo la kawaida linaloweza kudumu mpaka wiki ya 14 ya ujauzito na kuisha lenyewe bila tiba. Iwapo ujauzito unaweza kusababisha madhara ikiwamo kupata kichefuchefu na kutapika kulikopitiliza na...
  15. the deadline

    Unahisi kwanini huyu anapendwa na Watanzania kwa sasa?

    Dar es Salaam.Tarehe na mwezi kama wa leo miaka 67 iliyopita alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete. Leo Jumamosi akiwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa salamu mbalimbali zimetolewa kumtakia heri na maisha marefu. Watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa wanasiasa na wasanii...
  16. the deadline

    Mbowe: Lissu amefanyiwa upasuaji mara 14

    Babati. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefanywa upasuaji mara 14 na ataendelea kufanyiwa upasuaji mwingine ndani ya wiki mbili zijazo. Mbowe amesema hayo jana kwenye mazishi ya marehemu Philip Gekul, baba mzazi wa Mbunge wa Babati...
  17. the deadline

    TAMKO la Wazee wa CHADEMA mbele ya Wanahabari leo

    hebu angalia hiyo link......
  18. the deadline

    Mzimu wa Chadema waitafuna CCM uchaguzi wilaya

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kuogopa kivuli cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kutimua wagombea wa uenyekiti wa wilaya ambazo Chadema kimeshinda ubunge, CCM kimefuta majina ya wanachama waliopitishwa kugombea uenyekiti katika wilaya za Hai, Moshi mjini na Siha...
  19. the deadline

    Lissu atakuwa mkubwa zaidi akitoka hospitali

    Lissu atakuwa mkubwa zaidi akitoka hospitali Zipo tafsiri mbili katika tukio la mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kunusurika katika shambulio la risasi. Ya kwanza ni ya kibinadamu, kwa maana ya fikra za kawaida, ya pili ipo kiroho, kwa kuzielekea kudura za Mwenyezi Mungu. Tafsiri ya...
Back
Top Bottom