Wasio na ajira wanasafiri bure Scotland…..sababu?

Wasio na ajira wanasafiri bure Scotland…..sababu?

the deadline

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
62
Reaction score
106
scotland-650x400.jpg




Kampuni ya ScotRail Alliance huko Scotland imetoa ofa ya kuwasafirisha bure watu wote ambao wanatafuta ajira pale wanapokwenda kufanyiwa usaili kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni kuwapeleka na kuwarudisha.

Ofa hii pia ni kwa wote waliopata kazi tayari kwa kipindi cha mwezi mmoja baada ya kupata kazi, lengo ikiwa ni kupunguza gharama za usafiri kwa ambao hawana ajira huku wakiwasaidia kufanikiwa kwenye usahili wa kazi.

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Alex Hynes ameeleza kuwa msaada huo utasadia kuboresha uchumi wa Scotland kwani gharama ya kusafiri inaweza kuwa kuzuizi kwa watu wanaojaribu kutafuta ajira.
 
Bongo ikiwekwa hii nafikiri magari yatafanya kazi 24 hours
 
Habari bora kabisa na mfano wa kuigwa na wakurugenzi wa makampuni mengine kote duniani
NB:; wakurugenzi na sio viongozi wa kisiasa
 
[emoji23] [emoji23] mkuu mpaka usiku usaili huo utakuwa unafanyikia wapi Ohio....
 
Back
Top Bottom