Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39


the deadline

the deadline

Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
62
Likes
105
Points
40
the deadline

the deadline

Member
Joined Sep 26, 2013
62 105 40
PIC+CHATO.jpg


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano - Profesa Makame Mbarawa ameweka jiwe la msingi katika uwanja wa ndege wa Chato wenye kiwango cha daraja la 4C unaojengwa kwa gharama ya Sh. Bilioni 39.15.

Akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uliofanyika Novemba 4 , 2017, Waziri Mbarawa amesema ujenzi wa kiwanja hicho unaojengwa na mkandarasi Mtanzania kinajengwa kwa kiwango cha kimataifa.

“Tunahitaji maendeleo na serikali hii imefufua shirika la ndege na tayari imenunua ndege sita ambazo zitafanya kazi ndani na nje ya nchi na kila mkoa utakua na kiwanja cha ndege cha kisasa kitakachohudumia wananchi wasiopungua 100” amesema.

Awali, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini(TANROADS) Patrick Mfugale amesema kiwanja hicho kina urefu wa kilometa tatu ambapo kitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 200 hadi 300.

Ujenzi huo ulioanza Septemba 2016 umeshajengwa kwa asilimia 52 na unategemewa kuchochea shughuli za maendeleo katika wilaya ya Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.

=======
My Take:

JE KULIKUWA NA UMUHIMU WA UWANJA ULE WILAYANI CHATO KUWA TAYARI KATIKA KARNE HII WAKATI UWANJA WA MWANZA BADO NI MDOGO NA HAUSAPOTI NDEGE KUBWA?
 
Doto Dotto

Doto Dotto

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
2,640
Likes
975
Points
280
Doto Dotto

Doto Dotto

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
2,640 975 280
Picha tafafhali
 
M

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
365
Likes
308
Points
80
Age
55
M

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
365 308 80
Akili za viongozi wetu wa kiafrika, yule aliyejenga kanisa kubwa kuliko yote afrika kijijini kwake na sasa limebaki gofu wakati limetumia mamilioni ya pesa.
 
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Messages
613
Likes
510
Points
180
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2016
613 510 180
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
1,769
Likes
2,927
Points
280
Age
32
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
1,769 2,927 280
Kama 20km toka uwanja,Tunahifadhi kubwa ya Kisiwa cha Rubondo,kina wanyama wengi,samaki,ndege aina nyingi.Pia itapunguza garama,muda msafara mkuu wa nchi.Hii nchi si maskini ni huduma ya msingi kutanua fursa na maeneo mengine
 
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
2,091
Likes
4,571
Points
280
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
2,091 4,571 280
Raisi mbana matumizi,hhivi alituambia zile hostels za UDSM pale Mlimani City ni kwa 5bln eeh?!

Huko Chato kutatua KLM,QQatar na Kenya airways ama ni kwa ajili yake tu na familia yake?

Awamu ya V-WONDERS!!!
 

Forum statistics

Threads 1,238,861
Members 476,196
Posts 29,334,604