Search results

  1. M

    Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Nikipata wasaa nitaandika experience yangu. Lakin kwa ufupi sana ni kwamba Wachina wako mbali sana...almost kila kitu. Nilikaa mwezi mmoja...it is amazing place to visit.
  2. M

    Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Sijawah hata kufika. Niko marangu na nataka niende mwishoni mwa mwezi huu
  3. M

    Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Asante mdau. Mie nataka niende kama mwezi hiv. Kinachonipa homa sana ni gharama za makazi....japo nimepata some idea kwamba kuna hotel as low as 35usd.
  4. M

    Series (Special thread)

    Painkiller Drama Based on true events. Jamaa huko marekani walikuwa wanazalisha dawa za maumiv kama panadol lakin zikiwa na addiction ya hatari. Tizama.
  5. M

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Asante ndugu. Kwa kukusaidia tu, ukiona kazi ina hayo masharti maanake ni kazi yenye uhuru sana....yaani sehemu kubwa ya kazi hauonani na wawiliki wenye...unafanya kazi na mfumo tu. Natumain nimekuongezea maarifa kidogo ingawa unayo hiari ya kuendelea kuwa mtizamo wako. Karibu.
  6. M

    Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    https://customs.tra.go.tz/cm/cw/auction/auctionAllGoodsListPortal.do Tembelea hapo kila mara. Siifahamu ratiba kamili ilivyo.
  7. M

    Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Jibu rahisi ni kwamba yote uliyoambiwa sio sahihi. 1. Mali inayouzwa mnadani...bei unayoona imewekwa ndiyo kila kitu...hakuna malipo ya ziada. Mfano kama bidhaa haina ushindani na inauzwa shilingi lak moja basi waweza kuongeza tsh 1 tu na ukawa umeshinda. 2. Bidhaa zinazouzwa pale mnadani...
  8. M

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Inbox for discussion.
  9. M

    Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Ni kweli kabsa, kwa utaratibu wa sasa, ukishanunua gari unaenda polisi (baada ya kuitoa yard) upande wa usalama barabarani, wanafanya ukaguzi wa hali ya gari ikiwa ni pamoja na taarifa zake (namba ya chasis, engine nk) kisha unaenda TRA kufanyiwa usajili wa chombo chako. Kwa hakika nawapa...
  10. M

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Hi Brother - share via rendolimitedtz@gmail.com
  11. M

    Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited

    Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited Company Overview: Rendo Tanzania Limited is a newly established and dynamic distribution company specializing in the distribution of a wide range of soft drink brands. We are committed to providing high-quality products and...
  12. M

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed. Location: Kigamboni. Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN. Contract ni miezi 3 renewable based on performance. Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi...
  13. M

    Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed. Location : Kigamboni Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN. Contract ni miezi 3 renewable based on performance. Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi. Commission...
  14. M

    Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Ndugu wanajamii, Nimeanzisha hii mada ili tuweze kubadilisha uzoefu kwa wale waliowahi kutembelea China au wenye kupanga kwenda China kibiashara au kimatembezi. Binafsi napenda sana kutembelea china hasa maonesho ya Canton Fair. Naomba wenye uzoefu katika jambo hili, muweke uzoefu wenu, hasa...
  15. M

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mdau, mie nataka kuongeza mwanahisa....imekuwa changamoto kidogo. Nichek inbox tupeane kazi. Asante.
  16. M

    Series (Special thread)

    Night Agent.....kazi mzuri.
  17. M

    Series (Special thread)

    Mdau hata leo! Nipe mwongozo tu
  18. M

    Series (Special thread)

    Wengi wana very low quality.
  19. M

    Series (Special thread)

    Nahitaji mwenye 24 ya Jack bour...very good quality na subtle. Season zote. Awe dar. Aje inbox....nimetenga bajeti nzuri.
Back
Top Bottom