Search results

  1. Tangawizi

    Makonda, Next Project Iwe kuwekeza Kwa Vijana kwenye michezo

    Makonda ameanzisha project nyingi sana. Na nyingi hatuna feedback zinaendeleaje sasa hivi. Ila hatujasikia lolote kuhusu kuwekeza kwenye michezo ya vijana kuanza kada za chini kabisa. Ili safari za kwenda kuwatia moyo wachezaji kama alivyoenda Egypt ziwe na tija, ni lazima sasa tusiache eneo...
  2. Tangawizi

    Small Modular Nuclear Reactors

    As we keep struggling with reliable energy sources, could this new approach to nuclear technology save our day? We have plenty of uranium in Tanzania. What we miss is the technology to mine and use it. But who says that is a limitation if we put our minds in the right gears...
  3. Tangawizi

    Huduma za Maktaba Nchini

    Elimu ili iweze kuwa na tija na endelevu, lazima watu wapende kujisomea majarida na vitabu mbalimbali muda wote wa maisha yao. Huduma zetu za Maktaba sio za kuridhisha. Maktaba zetu nyingi hazina vitabu wala vitendea kazi vingine vyenye kuzifanya kuwa chachu ya kuleta maendeleo yatokanayo na...
  4. Tangawizi

    Gay Anglican Bishop to Divorce

    Source: 1st openly gay Episcopal bishop to divorce husband - US news NEW YORK (AP) — The first openly gay Episcopal bishop, who became a symbol for gay rights far beyond the church while deeply dividing the world's Anglicans, plans to divorce his husband. Bishop Gene...
  5. Tangawizi

    Uzinduzi wa Leseni Kwa wahandisi waliosajiriwa

    Leo, Dr. Magufuli ambaye ni waziri wa ujenzi amezindua rasmi matumizi ya leseni kwa ajiri ya practising engineers and engineering consultants kama sheria inavyoelekeza. Moja ya mambo muhimu aliyoyagusia ni bodi ya wahandisi sasa kuwa mstari wa mbele kutoa ushauri mbadala kwa serikali katika...
  6. Tangawizi

    Nishati Mbadala kwa matumizi ya nyumbani

    Baada ya kutembelea sehemu mbalimbali za nchi yetu, ni wazi tulipo sasa tumeshaka karibu miti yote kwa ajiri ya kutengenezea mkaa ambao unatumika kama nishati kwenye nyumba nyingi kuanzia vijiji mpaka mijini. Kwa bahati mbaya hatukukata miti kwa mipango endelevu ya kupanda mingine ili tusijefika...
  7. Tangawizi

    Ina maana yoyote a

    Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine kitu ambacho sijakielewa ni kwanini aliniambia kwamba ameniota na kunitaja jina na akaogopa mumewe...
  8. Tangawizi

    What is Mental Strength??

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini kuwa physical toughness inachukua nafasi kubwa kumfanya individual kuonekana imara.Lakini mfululizo wa mambo mbalimbali yanayotokea yananithibitishia wazi kuwa physical strength peke yake bado haitoshi...katika mazungumzo yangu na jamaa mmoja hivi karibuni...
  9. Tangawizi

    Waziri Magufuli apata PhD

    Nimesikia tetesi kuwa Mheshimiwa Magufuli amepata Phd Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu hili?
  10. Tangawizi

    Mchango wa ERB na CRB

    Kama zilivyo nchi nyingine zinazoendelea, Tanzania inahitaji sana mchango wa wahandisi na makandarasi ili kiu ya maendeleo ya kweli, ipatikane sambamba na ujenzi wa miundo mbinu kwa wananchi wake walio katika kona mbalimbali za nchi yetu. Ili kukidhi ubora wa huduma zinazotolewa, serikali...
  11. Tangawizi

    AC/Plumbing Design

    Kwa JF Members ambao wanafanya kazi kama service design engineers in the construction industry,naomba msaada wa material to read and drawing representantion of AC, lift and plumbing design. This goes to fire fighting systems design as well in buildings. I would be grateful for your assistance...
Back
Top Bottom