Ina maana yoyote a

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
6,332
6,024
Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine kitu ambacho sijakielewa ni kwanini aliniambia kwamba ameniota na kunitaja jina na akaogopa mumewe kama amesikia. Is there any mesage aliyotaka kunipa halafu ikanipita bila kuielewa?
 
changamka mkuu...ujumbe ndo ushatumwa hivyo....ishu hiyo
 
Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine kitu ambacho sijakielewa ni kwanini aliniambia kwamba ameniota na kunitaja jina na akaogopa mumewe kama amesikia. Is there any mesage aliyotaka kunipa halafu ikanipita bila kuielewa?

Kwa kawaida mimi nikimuota mtu huwa asubuhi yake namlipa ujira wake kwa kazi aliyonitendea usiku,hivyo na wewe nakushauri umdai huyo dada ujira wako maana inaonesha ulimshughulikia ipasavyo katika ndoto yake.
 
Kama analipa kula
 
duuhh muheshimiwa......
inaonekana wewe hatari mpaka mke wa mtu anakuota....
kwa kweli .. hahahahahah lol
 
ogopa uzinzi,huyo si mtu mwema kwako,likitokea lakutokea hatasema kama yeye ndiye aliekuanza lawama zote zitakuangukia wewe,kimbia ndugu huyo ni pepo,
 
huyo dada ana jini mahaba lilipokwenda kwake likachukua sura yako, so mkuu ikaonekana km wewe ndo umeotwa kwenye ndoto.
 
Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine kitu ambacho sijakielewa ni kwanini aliniambia kwamba ameniota na kunitaja jina na akaogopa mumewe kama amesikia. Is there any mesage aliyotaka kunipa halafu ikanipita bila kuielewa?

Ndoto ni mambo ambayo yanatokea kwenye akili ya mtu kiimawazo, lazima huwa mna mazeoa ya karibu sana na huyo dada.

Na jee mumewe angesikia ukifanya na yeye kwenye hio ndoto!!!!, ungekuwa watafuta mahali pa kujificha saa hizi!!!!!!
 
kwani , mkokaribu naye vipi? inawezekana hayo maongezi YAKO huwa unamchanganya mpaka anamsahamu mumewe siajabu mumuwe yuko bize sana ,sinajua waheshiwa,chamsingi hebu msidie mwezio lakini usihamie watakuchomato.
 
changanya kichwa na miguu iyo kwani una miaka mingapi wewe mpaka watafuta tafsiri
 
Sheria za Infi si unazijua? Basi zifuate. Naomba ukate na kadi kabisa uwe mwanachama hai au vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom