Search results

  1. R

    Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

    Ufalme wa mbingu kwa masikini na kwa tajiri kupenya kwenye tundu la sindano. Sorry ni NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO.
  2. R

    Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

    Sputam budget kama hzo ni jipu la ubongo! Wange tuepushia adha za foleni zisizo kuwa na tija hapa jijini kwa kutafuta m'badala hata wa matumizi ya helikopta kuliko 147 * 171 * 100 ni zoezi zito kidogo au ndio wanakombelezea vilivyokua vimebaki? Hyo mikataba waliyo ila haiwatoshi? Hawa watu...
  3. R

    Natafuta corolla 1,000,000

    ukipata muda nenda kajionee kuna mengine ni engine tu una badili body na makorokoro mengne yanakua poa. Matter ya kutembelea hyo zoo
  4. R

    Natafuta corolla 1,000,000

    Yapo mpaka laki tatu! Manzese mahakama ya ndizi wana ya katakata unaweza kwenda kuosha macho ukajichagulia
  5. R

    Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

    Kama ikulu ni wodi ya wagonjwa ngoja tuone
  6. R

    Don't build Bagamoyo port, shippers tell Government

    Kwa faida ya wanao kusudiwa samahani lakini Alafu TOPIC HII ingekua kwa lugha ya wanao kusudiwa ingekua poa WALA SIO TOPIC HII TU.
  7. R

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    Watanzania 2mezoea kudanganywa kiasi kwamba hata m2 akiongea ukweli bado mnaona uongo! Mtoa mada jipange
  8. R

    Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    kibaya zaidi ni ujangili kwa wa TZ
  9. R

    Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    A.K.A. KURA YANGU IPO CCM ILA SIO KWA WA 150M Per Day
  10. R

    Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    wanamchafua akina nani bhana? Nani asiye jua alikua akilpwa 150M Kwa SIKU? Leo hii awe MGENI? Nakumtafuta MCHAWI nani? ALIJIUZULU VIPI? Au mda wake wa kuwa madarakani ULIISHA? SIJUI SIASA ILA NDIO NINAYO KUMBUKA
  11. R

    Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    bila aibu yoyote? Kuna 1gb kw elfu2 kwa wiki! Kama umeshindwana na smartphones 2mia posta bado huduma zipo
  12. R

    Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    kwanza airtel kwa internate na uwepo wa internate ambapo mitandao mingine haipo still cheap! Mm nipo hapa hapa dar ila kwa internate kuna mahali nikiwepo cpat internate zaidi ya airtel ss leo kuna muharibifu ww' an airtel still cheap unataka ugewe na vocha bure! Haya 2ku2mie airtel_money au...
  13. R

    Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    wengine hua wanakuaga waharibifu automatically kwanza kulinganisha na mitandao yote kwa internate airtel naona kama ipo good'good ss huyu mwnye codes kila m2 am2mie buku kwani yy babu wa loliondo? Kwanza nimehama mitandao yote na kutrust airtel kwa benefits alafu nakutana na huyu m2 basi doh!
  14. R

    UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

    Je! Huwa inatokea kweli ama haitokei kabisa ama imekaa vipi hii japo kisayansi hakuna ki2 kama hcho
  15. R

    Hivi ni kwanini kulea ujauzito ni gharama kiasi hiki?! Ni zaidi ya kulea mtoto?

    Unajua wa2 2metofautiana sana haswa kwenye kukabiliana na matatizo! Kwenye suala hili kwa fikra zangu ni either kipato or aina ya mwanamke or umemzoesha mazingira gani! Kudeka wana deka haswa wakiwa wajawazito na usipo funguka una hali gani haswa kifedha utakoma coz hato jua unazo au huna...
  16. R

    Mtoto anaenyonya anaweza kuathirika endapo wazazi wakifanya mapenzi?

    Je? Mama akajamiiana na m2 mwngne asiye baba wa mtoto? Iyo imekaaje nayo wakuu!
  17. R

    Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

    hata mm hua sipatagi jibu kamili hua naonaga kama ndoto or..i don knw nami ngoja ningojee majibu kama ww
  18. R

    Nahamia Mbezi ya Kimara, ofisi Masaki, ushauri wa njia za kupita asubuhi/jioni

    Kuna boda zuri sana! Mbezi unatafuta njia yakuelekea Lilian kibo inakuleta mpaka maeneo ya goba so pale utachagua utokee tangibovu_massana hosp au ukatokee makongo! Wa2 weng wa mbezi wa across hvyo
Back
Top Bottom