Emergence Login
Member
- May 26, 2015
- 56
- 20
Wasalaam wakuu,
Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya mapenzi bila kinga yeyote wakati mtoto ananyonya kunaweza kuathiri ukuaji wake hasa uzito, kuongeza hatua mfano anaweza kuchelewa kutembea au kusimama na nk.
NB: Wife anatumia njia ya uzazi wa mpango