Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Jamani hebu angalieni hii picha kwenye jicho lake la kushoto pamoja na mdomo upande huo huo kisha mueleze ni nini kinaashiria.
















 

Attachments

  • MMGL0880.jpg
    MMGL0880.jpg
    46.1 KB · Views: 4,738
Tatizo liko wapi..????utakuwa peke yako kwenye ki box au chumba cha kupigia kura, sasa hapo uamuzi ni wako.Kwani huyu alikwenda kwa babu kupata kikombe.....?????? Waliokwenda wamepona.....????na walikuwa na maradhi gani....????.Yote hayo tumuachie MUNGU....mzima anaweza ondoka mgonjwa akabaki.
 
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Back
Top Bottom