Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

J. Mushuku

Member
Jun 1, 2015
17
4
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0682411370 nikuunganishe, achana na adha ya mb 10 kwa siku.
 
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0683411370 nikuunganishe, achana na adha ya mb 10 kwa siku.

Mimi nilidhani itakua week nzima...
Hata hivyo sio mbaya.
 
Bora kujiunga cha week kwa buku mbili one GB kuliko ya buku kwa Massa arobaini na nane. *148*88# kupata vifurushi vya bei nafuu kutoka airtel
 
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0683411370 nikuunganishe, achana na adha ya mb 10 kwa siku.

attach kitambulisho chako incase anycng happen
 
Bora kujiunga cha week kwa buku mbili one GB kuliko ya buku kwa Massa arobaini na nane. *148*88# kupata vifurushi vya bei nafuu kutoka airtel

wengine hua wanakuaga waharibifu automatically kwanza kulinganisha na mitandao yote kwa internate airtel naona kama ipo good'good ss huyu mwnye codes kila m2 am2mie buku kwani yy babu wa loliondo? Kwanza nimehama mitandao yote na kutrust airtel kwa benefits alafu nakutana na huyu m2 basi doh!
 
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0683411370 nikuunganishe, achana na adha ya mb 10 kwa siku.

kwanza airtel kwa internate na uwepo wa internate ambapo mitandao mingine haipo still cheap! Mm nipo hapa hapa dar ila kwa internate kuna mahali nikiwepo cpat internate zaidi ya airtel ss leo kuna muharibifu ww' an airtel still cheap unataka ugewe na vocha bure! Haya 2ku2mie airtel_money au vocha za buku buku?
 
hyo.ni airtel UNI 255 BONGO Ipo vyuoni ni vocha inauzwa buku 1000 tsh. code zake ni *149*94*namba za vocha# kuchek salio *149*94#; ndio natumia mpaka kesho alhamis kinaisha ni masaa 72 kuna vya wiki 1500 ila mimi nachukuaga cha 1000 dakika 100 airtel-airtel, 10 min. kwenda kokote... GB 2 za net sms za kumwagaaaa
 
hunked or official services?
 
Bongo watu wajanja wajanja tu yaani wewe UNI 255 ya mia sita unataka kulangua watu kwa buku kisa mia nne na itakuwa una ndugu yko chuo unaomba hakutumie vocha ufanye ulanguzi wako......................aaaaaargh!!!!!!!!!
 
wengine hua wanakuaga waharibifu automatically kwanza kulinganisha na mitandao yote kwa internate airtel naona kama ipo good'good ss huyu mwnye codes kila m2 am2mie buku kwani yy babu wa loliondo? Kwanza nimehama mitandao yote na kutrust airtel kwa benefits alafu nakutana na huyu m2 basi doh!

Wako vizuri mfano 500 kwa siku wanakupa mb300 na haziishi haraka ka mitandao ya tigo na voda. Net haisumbua. AIRTEL wako vizuri kwenye internet.
 
Mleta mada anajifunza utapeli nyota ya kutapeli ina msogelea.

Bora ushalitambua hilo nwenzangu.... Maana ukikaa chonjo ina uafadhali kwako kwani nchi ishauzwa ko kila mtu anashughulika hata pacpo mfaa. Eti anakuja kwa ma-great thinkers kwa sera ya kutapeli hehehe you are finish....!!
 
Back
Top Bottom