Search results

  1. Kibo10

    Mkuu wa Kituo Cha Polisi Mwenge anakula Rushwa hadharani, IGP chukua hatua

    Mamlaka zinazohusika mwangalieni mkuu wa kituo cha polisi cha Mwenge. Huyu mama anakula rushwa haradani, Nitaeleza. Hapo mwenge kuna wamachinga, Ambao kimsingi,,Mkuu wa wilaya kawatengea eneo rasmi la kufanyia biashara zao. Lakini mkuu wa kituo cha polisi mwenge, Huamasisha baadhi yao wasiende...
  2. Kibo10

    Halimashauri ya Kinondoni, Okoeni biashara za MWENGE, la sivyo serekali itapoteza mapato makubwa sana

    Unaambiwa ukistajabu ya musa utaona ya firauni, Hivi ndio naweza kusema ukifanikiwa kupita eneo la mwenge jioni hii. Nakumbuka rais aliruhusu machinga wafanye biashara zao, Lakini alitadharisha kutokubugudhi walipa kodi wengine. Sijajua ni kiongozi gani karuhusu barabara ya mwenge sokoni...
  3. Kibo10

    Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe. Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake. Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe. Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana...
  4. Kibo10

    Kanisa kemeeni Uvunjifu wa Haki, Msipo badilika Makanisa yatabaki Magofu

    Ni kiri wazi mimi nina imani kali sana unapozungumzia Mungu au Yesu kristo, Ni moja kati ya watu ninaoamini Mungu yupo na sisi sote ni mali yake. Lakini taratibu nimeanza kuwa mtoro kanisani, si kwamba siombi Mungu. Hapana, Namwomba Mungu lakini nikiwa nyumbani au popote nitembeapo kimya kimya...
  5. Kibo10

    Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Nina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote. Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka...
  6. Kibo10

    Mkakati Wa CCM na Lowassa kurubuni Watanzania Kuwa anakubalika

    Baada ya Lowassa kurudi CCM kwa hali ya kinyonge na CHADEMA kubaki imara bila mtikisiko wowote. CCM wameandaa mkakati wa kurubuni watanzania kuonyesha picha kuwa Lowassa kahama na watu. Mkakati uliopo ni kuwa,Lowassa ataanzia mwanza na kunataarifa wapo wamachinga wameandaliwa na vijana wa CCM...
  7. Kibo10

    Lissu: Ndugu zangu tuwe makini sana na watu wa aina hii. Ni mbwa mwitu waliojivika ngozi za kondoo

    Wandugu wapendwa salaam, Naomba nizungumzie kidogo nia na malengo halisi ya Josephat Nyamwaya na wenzake. Alianza mtu aitwaye Nkwazi Mhango yapata wiki moja iliyopita. Jana akafuatia Nyamwaya na leo ni zamu ya anayeitwa Martin Maranja Masese. Wote wanaelekea kunipenda sana. Wote hawataki...
  8. Kibo10

    Si lazima maaskofu wote wawepo au wakubali tamko la Kanisa

    Mjadala unaoendelea kuhusu hatua ya KKKT kuwaadhibu baadhi ya maaskofu waliogoma kusoma waraka wa kanisa, unakosa unahitaji kumbukumbu kadhaa ili kuuweka sawa. 1. Mwaka 1992 kanisa hilo liliamua kuwabariki wanawake katika huduma ya uchungaji. Dayosisi 6 kati ya 20 za wakati huo hazikuunga mkono...
  9. Kibo10

    Anatafuta kazi za Ndani,Mshahara mtaelewana

  10. Kibo10

    Viwanda vinavyozinduliwa awamu hii,Masikioni ni vingi,Machoni vichache

    Idadi ya viwanda na miradi inayozinduliwa nchini awamu hii ya tano,Imekuwa mingi masikioni ila machoni michache. Ebu tusaidiane popote ulipo nchini,Taja kiwanda kipya ulichoshuhudia ujenzi wake mpaka kukamili na kuanza kazi. Taja aina ya kiwanda,Mkoa kilipo na wilaya,Ili tuweze kuvijua na...
  11. Kibo10

    CCM wameongoza Kinondoni na Siha kwa miaka 15. Ipi tofauti ya Kinondoni, Kawe, Siha na Hai?

    Kuna dhambi CCM wanatenda mchana kweupe kwa kulaghai wana Kinondoni na Siha, eti mkichagua upinzani hamtapata maendeleo, mkichagua mbunge wa upinzani serekali haitapeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani. Kisingizio chao ni kuwa mbuge wa CCM anaweza kuwasiliana na rais kirahisi...
  12. Kibo10

    Napendekeza list hii Ifunge kampeni jimbo la Kinondoni

    Hili ni endekezo langu kwa viongozi wa CHADEMA kuhusu kufunga kampeni jimbo la Kinondoni. Wawashieni moto CCM kwa kufunga kampeni zenu kwa watu wafuatao:- Maalim Seif Sheikh Ponda kwa ajili ya Dua Babu Duni Sugu Freeman Heche Msigwa Na wabunge wote wa majimbo ya DSM n.k Pia itapendeza...
  13. Kibo10

    Polepole Kaenda Ikulu kuzima mjadala wa marudio ya uchaguzi mdogo

    Uchaguzi mdogo wa warudio umefanyika leo lakini wapiga kura wamesusa,Pamoja na tume ya uchaguzi kuufanya jumamosi ili ccm wasipate aibu ila mbinu imegonga mwamba. Polepole kakimbilia ikulu ili magazeti yasiongelee huu uchaguzi news rom muwe makini ni mkakati Mtajiongezea kura ila mmebaki uchi,Aibu!
  14. Kibo10

    Rais Magufuli hakuhudhuria mazishi ya mke wa mzee Kingunge

    Nilihudhuria kwenye mazishi ya mke wa Kingunge rais sijamona,Kingunge na mke wake wamepigania uhuru wa tanzania ndio maana leo JPM ni rais na si mzungu. Kwanini rais hakumpa mzee huyu heshima yake?Makaburi ya Kinondoni na ikulu hamna kilomita 4. Mama Nyerere katoka Butihama kaja kuzika,Rais...
  15. Kibo10

    Ni Kiwanda Gani Kiligeuzwa Godauni Serekali Imekichukua?Zile mbwembwe zimeishiwa wapi?

    Siasa zikiingia kwenye maisha ya watu ni jambo hatari sana. Mnakumbuka Mwijage aliambiwa afute umiliki wa viwanda vyote ambavyo hajaendelezwa? Mnakambuka mbwembwe za agizo hilo.Ebu niambie popote ulipo nchi hii ni kiwanda gani serekali imekichukua na kiligeuzwa godauni?Lile tamko utekelezaji...
  16. Kibo10

    Msigwa live Channel 10: Mada ni wimbi la watu kuhama vyama

    MSIGWA atakuwa live Chanel ten usiku huu kuanzia saa 4 kamili Vibaraka mjikaze kusikia msioyapenda!
  17. Kibo10

    Bunge Lipo Gizani, TBC wapo Live Mlimani City. Mawaziri wapo gizani, Makonda yupo Live

    Tanzania imekuja kuwa nchi ya ajabu sana. Bunge lipo gizani. Mawaziri wanazindua miradi ya maana gizani Lakini Makonda anaweka show mlimani city TBC wanarusha live matangazo toka mchana. Hivi ni kipi kipaombele chetu?Tumelogwa au ni laana?
  18. Kibo10

    Mungu atusaidie uchumi wa Tanzania, unaelekea shimoni nashuhudia kwa macho

    Tunaposema hali ya uchumi ni mbaya wapo watu wanabisha kisa wapo kwenye cheni ya ulaji. Ila mtaani hali imekuwa tete sana,Vijana wengi wameanza kufilisika na kuuziwa vinyumba vyao. We fikiri kwa uzuri wa zile nyumba za lugumi na maeneo zilipo,Leo ni karibu mwaka zimekosa mnunuzi.Na kwa hali hii...
Back
Top Bottom