Napendekeza list hii Ifunge kampeni jimbo la Kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza list hii Ifunge kampeni jimbo la Kinondoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kibo10, Feb 11, 2018.

 1. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2018
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,282
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Hili ni endekezo langu kwa viongozi wa CHADEMA kuhusu kufunga kampeni jimbo la Kinondoni.

  Wawashieni moto CCM kwa kufunga kampeni zenu kwa watu wafuatao:-

  Maalim Seif

  Sheikh Ponda kwa ajili ya Dua

  Babu Duni

  Sugu

  Freeman

  Heche

  Msigwa

  Na wabunge wote wa majimbo ya DSM
  n.k

  Pia itapendeza sauti ya shujaa wa Tanzania, Tundu Lissu ikarekodiwa na kurushwa live uwanjani.

  Pendekezo hili likifanyiwa kazi na kuwa Live kwenye mitandao ya kijamii Mtulia na genge lake wanarudi kulima nyanya Jumapili ijayo.
   
 2. baba bora

  baba bora JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 25, 2016
  Messages: 1,517
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Ushindi ni wetu .ccm wameingiwa na hofu wanaugua huko lumumba
   
 3. wambeke

  wambeke JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2018
  Joined: Aug 30, 2013
  Messages: 2,670
  Likes Received: 2,527
  Trophy Points: 280
  Pole
   
 4. elvischirwa

  elvischirwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 1,241
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Watakamatwa kwa kufanya siasa kwenye majimbo yasiyo yao.
   
 5. Maboso

  Maboso JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 18, 2013
  Messages: 4,346
  Likes Received: 2,770
  Trophy Points: 280
  Hakuna jipya hapo, watu wamechoka na undumilakuwili wao. Wamekosa msimamo katika kusimamia sera zao.
   
 6. Gyole

  Gyole JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2018
  Joined: Sep 20, 2013
  Messages: 3,226
  Likes Received: 2,724
  Trophy Points: 280
  Mungu asaidie cdm ishinde
   
 7. C

  CWR2016 JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 14, 2017
  Messages: 1,545
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  Sugu tu ndo anasubiriwa huku kinondoni kama maji.

  Yani akisimama tu jukwaani, mtulia vipande vipande
   
 8. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2018
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,627
  Likes Received: 15,284
  Trophy Points: 280
  Umemsahau Lema na selasini...
   
 9. B

  Babeli JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2018
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 3,996
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Wewe bado unamfikiria Babu Duni wakati alishawaambia chadema wana matatizo..kule kila mtu ni kiongozi na anatoa maagizo..chezea Saccos wewe..
  Chama kina wenyewe kamanda..Babu duni aliwatupia virago lichama lenu kulee
   
 10. B

  Babeli JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2018
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 3,996
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Ikishashinda itatusaidia nini...matatizo ya wananchi wataenda kuripoti kwa Mbowee siyo...khaaaa..unataka washinde hawa watetezi wa mafisadi?????
   
 11. Gyole

  Gyole JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2018
  Joined: Sep 20, 2013
  Messages: 3,226
  Likes Received: 2,724
  Trophy Points: 280
  Wewe hamnazo kabisa
   
 12. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2018
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,971
  Likes Received: 4,011
  Trophy Points: 280
  .....
  ......Mkuu ongeza na Profesa J mikumi moyaaa
   
 13. Baba Heri

  Baba Heri JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2018
  Joined: Jul 23, 2013
  Messages: 883
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 180
  Hivi chadema wanangoja nini hadi saivi hawajasusia uchaguzi?
   
 14. cai

  cai JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2018
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 1,199
  Likes Received: 1,040
  Trophy Points: 280
  Wewe utasababisha KJ 931 Mafinga, wale makomandoo wa kuvunja matofali na nondo za plastiki, yale mapower tank, jet figter, na lile mother of all bombs, wakiongozwa na jemedari wa vita/ field Marshall, hakimu wa mahakimu, jaji wa majaji, mwanadamu mwenye uthubutu wa kumkosoa MUNGU, wayalete kino na siha
   
 15. gungele

  gungele JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2018
  Joined: Jan 8, 2015
  Messages: 1,603
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Ccm hawawezi kushindwa huu uchaguzi
   
 16. Emmanuel nemes

  Emmanuel nemes JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2018
  Joined: Nov 20, 2016
  Messages: 850
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 180
  Wazee wa pyuuu pyuu pyuuuuuu, hawajawahi kumuacha mtu salama, upinzani wanasindikiza tuu. Muda utaongea.
   
 17. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2018
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 16,270
  Likes Received: 25,181
  Trophy Points: 280
  Kwani Mgonjwa akitembelewa na Ndugu wengi ndio anaepuka Kifo?
   
 18. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2018
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 16,270
  Likes Received: 25,181
  Trophy Points: 280
  Wazee wa kususa hao, Safari hii wamesusa kususia uchaguzi
   
 19. GENTAMYCINE

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2018
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 26,558
  Likes Received: 29,987
  Trophy Points: 280
  Ninachojua tu ni kwamba hata uwalete Malaika kutoka Mbinguni waje wafunge Kampeni ya CHADEMA ila tayari Wenzenu mnaopambana nao wameshamaliza mchezo zamani sana na hiyo Jumapili siku ya Uchaguzi wanaenda tu kukamilisha ratiba.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...