CCM wameongoza Kinondoni na Siha kwa miaka 15. Ipi tofauti ya Kinondoni, Kawe, Siha na Hai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wameongoza Kinondoni na Siha kwa miaka 15. Ipi tofauti ya Kinondoni, Kawe, Siha na Hai?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kibo10, Feb 12, 2018.

 1. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2018
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,282
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Kuna dhambi CCM wanatenda mchana kweupe kwa kulaghai wana Kinondoni na Siha, eti mkichagua upinzani hamtapata maendeleo, mkichagua mbunge wa upinzani serekali haitapeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani.

  Kisingizio chao ni kuwa mbuge wa CCM anaweza kuwasiliana na rais kirahisi.
  Niwakumbushe tu wana Kinondoni na Siha.

  Jimbo la kinondoni limekuwa chini ya CCM kwa miaka 15 kipi cha tofauti walileta ukilinganisha na jimbo la kawe lililoko chini ya CHADEMA kwa miaka 10tu?"Ujiongeze"

  Pili mwana kinondoni na Siha, Ebu linganisha maendeleo ya majimbo yaliyoongozwa na upinzani nchini ya yale yalio chini ya CCM toka uhuru.Yapi yameendelea? Jibu unalo. Ni ya upinzani."Jiongeze"

  Watu wa siha, Mwanri kaongoza siha kwa miaka 15 Freeman kaongoza hai kwa miaka kumi. Jimbo lipi limeendelea? Jiongezeni"

  CCM ni chama mfu na waongo mpaka Mungu hawapendi, wameishiwa maarifa na mbinu. Wamebaki na siasa za vitisho na ubanguzi. Msikubali kudanganywa Siha na Kinondoni, nyie ni watoto wa mjini.

  Wakadanganye Chato, Mtera na majimbo mengine yanayofanana na hayo. Kataeni kuwa daraja la wasaliti na wafuja kodi.

  Chagueni CHADEMA muwape ujumbe kuwa nyie si mandezi.Wakataeni wapunguze kiburi cha ibilisi.

  Mungu awabariki wana Kinondoni na Siha!
   
 2. share

  share JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2018
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,810
  Likes Received: 3,296
  Trophy Points: 280
  Ni wizi wa kura tu utakaoupokonya ushindi Chadema Kinondoni na Siha. CCM imechokwa mno wa wananchi. Mbaya zaidi, wamechukua makapi ya upinzani kuwasimamisha kugombea majimbo hayohayo. Hii imezua hasira, chuki na uhasama ndani ya CCM yenyewe . Yote yatalipuka kwenye uchaguzi kwa kuwasusa haya makapi.
   
 3. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2018
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,282
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Wakirudi iwe kwa wizi au halali,Watadharau sana wananchi,Tutalia na kusaga meno,Ukizoea kula nyama ya mtu ni gumu sana kuiacha
   
 4. W

  WILLIAM MARCONI JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2018
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 2,057
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Swali rahisi. Moshi na Arusha ziliendelezwa na Serkali miaka ya 70 na 80 kwa upendeleo wa kikabila wakati mawaziri wakuu na watendaji serkalini wote walikuwa watu wa huko. Maendeleo yameletwa na serkali ya TANU na CCM lakini kwa upendeleo. Wala msijaribu kulinganisha, hata Waziri Mkuu Majaliwa kwao hakuna lami na Rais Magufuli kwao hakuna airport wakati Moshi utakutwa simu na umeme hadi mlimani. Wasomi wote walikuwa ni wao kwa upendeleo huo huo. Ukienda CRDB na TRA utakuta kote wamejaa wao tu. Mambo ya ukabila tafadhali msiyaingize hapa, maendeleo ya Moshi hayakuletwa na CHADEMA
   
 5. L

  LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 1,301
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  ccm ni matapeli tu kama matapeli mengine.
   
 6. s

  siti ya mbele Senior Member

  #6
  Feb 12, 2018
  Joined: May 3, 2017
  Messages: 185
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Nani alizuia msisome.miaka ya 70 waziri mkuu alitoka Moshi?umefirisika kisiasa kuhusisha ukabila na maendeleo.hata ukienda miji ya kanda ya ziwa kati ya matajiri 10 3hadi 5 utakuta wana asili ya kaskazini au Asia na uarabuni nao utasema walibebwa.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...