Ni Kiwanda Gani Kiligeuzwa Godauni Serekali Imekichukua?Zile mbwembwe zimeishiwa wapi?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Siasa zikiingia kwenye maisha ya watu ni jambo hatari sana.
Mnakumbuka Mwijage aliambiwa afute umiliki wa viwanda vyote ambavyo hajaendelezwa?
Mnakambuka mbwembwe za agizo hilo.Ebu niambie popote ulipo nchi hii ni kiwanda gani serekali imekichukua na kiligeuzwa godauni?Lile tamko utekelezaji wake umeishia wapi?
Leo wanacheza na mashamba ya Mo,Kelele nyiiingi huku wakijua ni mali ya Mo na hawayachukui.Wanatamka tu ili kufurahisha mapimbi wasiojielewa.
Chukua taadhari kijana,Usikubali akili zako ziwekwe mfukoni na Ccm wa genge lao la vibaka.
 
Kete Ngumu

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
5,895
2,000
Ni afadhali siasa iingie ktk maisha ya watu huku ukijua anaefanya hiyo siasa anaijua siasa kama JK hakutakuwa na madhara.
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,700
1,225
Objective haikuwa kutwaliwa bali kufanya vianze kazi... kwy ambavyo vinatakiwa kuanza kazi na vimeanza uzalishaji viko vingi... tena sana.
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,700
1,225
Kipi kimeanza uzalishaji?Taja viwili tu na sehemu vilipo
Sitakusaidia lakini vipo yeyote ambaye yuko interested with the sector anaweza kuviona... tatizo mnadonoa dona mada... if you real followup on manufacturing sector you can see them...
 
morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,362
2,000
Siasa zikiingia kwenye maisha ya watu ni jambo hatari sana.
Mnakumbuka Mwijage aliambiwa afute umiliki wa viwanda vyote ambavyo hajaendelezwa?
Mnakambuka mbwembwe za agizo hilo.Ebu niambie popote ulipo nchi hii ni kiwanda gani serekali imekichukua na kiligeuzwa godauni?Lile tamko utekelezaji wake umeishia wapi?
Leo wanacheza na mashamba ya Mo,Kelele nyiiingi huku wakijua ni mali ya Mo na hawayachukui.Wanatamka tu ili kufurahisha mapimbi wasiojielewa.
Chukua taadhari kijana,Usikubali akili zako ziwekwe mfukoni na Ccm wa genge lao la vibaka.
Nilichogundua Mwijage na baba yake ni aina moja ni wazee wa cherehani 4 ni ki-wonder
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,375
2,000
Unaweza kututajia hata vitano kwa uchache mkuu

Avitaje wapi, huwa nashangaa kusikia eti huko pwani kuna viwanda 3000+, hivi kweli viwanda vyote hivyo na wala tusione makundi ya vijana kwenda huko kupata hata wangalau kazi ya ujenzi? Tungeshindwa hata kuona watu wakijenga nyuma za kupangisha za watu watakaoshi kwa ajili ya kuajiriwa viwandani? Wakati mwingine huwa naona kama watu tunafanyana watoto kisha eti tunafundishwa uzalendo.
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
3,617
2,000
Avitaje wapi, huwa nashangaa kusikia eti huko pwani kuna viwanda 3000+, hivi kweli viwanda vyote hivyo na wala tusione makundi ya vijana kwenda huko kupata hata wangalau kazi ya ujenzi? Tungeshindwa hata kuona watu wakijenga nyuma za kupangisha za watu watakaoshi kwa ajili ya kuajiriwa viwandani? Wakati mwingine huwa naona kama watu tunafanyana watoto kisha eti tunafundishwa uzalendo.
Pwan nivoifahamu hata vyerehan 3000 havifiki labda mbuzi za kukunia nazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom