Mkakati Wa CCM na Lowassa kurubuni Watanzania Kuwa anakubalika

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Baada ya Lowassa kurudi CCM kwa hali ya kinyonge na CHADEMA kubaki imara bila mtikisiko wowote.

CCM wameandaa mkakati wa kurubuni watanzania kuonyesha picha kuwa Lowassa kahama na watu.

Mkakati uliopo ni kuwa,Lowassa ataanzia mwanza na kunataarifa wapo wamachinga wameandaliwa na vijana wa CCM kumpokea na kujifanya nao wanahama CHADEMA na kurudisha kadi feki za CHADEMA.

Mkakati huo utafanyika kwenye majiji yote Tanzania na baadhi ya miji
 
Sidhani Kama CCM wakifanya hivyo itatatua na kurekebisha masuhala kadhaa nchini..

1. Uchumi kuimarika
2. Kupatikana kwa ajira kwa vijana
3. Madawa kupatikana hospital
4.....etc

Kinachotakiwa ni kwamba wao waache wafanye hayo "matukio" kwani hata chadema wangekuwa ndio CCM na ukaandaliwa mpango huo Sina hakika Kama ungekataliwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
giphy-2.gif

Aah!! Toa Hizo Leta za Lissu hapa.
 
kuna Bandiko la Evarist Chahali limesha sema kuwa wameshaandaliwa watu kabisa, sasa tusubili kiki hali halisi
 
Mzee akijaribu kufanya hivyo basi asijelaumiwa mtu kwani kale kaeshima alichokuwa akipata kulingana na umri wake itatoweka.
Alikuja kwa hiari yake mwenyewe na ndivyo alivyoondoka. Arejee maneno ya H. Polepole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani Kama CCM wakifanya hivyo itatatua na kurekebisha masuhala kadhaa nchini..

1. Uchumi kuimarika
2. Kupatikana kwa ajira kwa vijana
3. Madawa kupatikana hospital
4.....etc

Kinachotakiwa ni kwamba wao waache wafanye hayo "matukio" kwani hata chadema wangekuwa ndio CCM na ukaandaliwa mpango huo Sina hakika Kama ungekataliwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tujifunze kuachana na siasa za kuwafuata watu kwa nyimbo zao na zawadi zao za dhihaka na za kitoto.

Tusiwe kama bendera na upepo,

Bali tuwachague viongozi kwa sababu wanafaa na wameonesha uthubutu na utayari wa kutuwakilisha kwa mambo tunayoyataka.

Viongozi wengi wanao nyanyasa wananchi ni wale walionunua kula zenu kwa rushwa zinazotolewa kwa njia anuai; mfano

1. vijijini, kuna baadhi ya maeneo yana wanavijiji walafi wa nyama. Wagombea baadhi wamenunua kura zao kwa kuchinja wanyama ili wale wafurahi kisha wakapige kura kuwachagua

2. Kuna baadhi ya maeneo fedha inawanunua watu wenye ushawishi wakatembelee watu kuwapigia kampeni na wakigawa fedha.

Viongozi wa namna hii kamwe hawezi kujali maslahi yenu.

Fedha na nyama ya siku moja kamwe havitomaliza shida zako hata za wiki moja.

Watu amkeni wachagueni watu kwa sababu muna imani watawawakilisha vyema. Wanaupeo wa kuwatetea maslahi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao
Baada ya Lowassa kurudi Ccm kwa hali ya kinyonge na chadema kubaki imara bila mtikisiko wowote.
Ccm wameandaa mkakati wa kurubuni watanzania kuonyesha picha kuwa Lowassa kahama na watu.
Mkakati uliopo ni kuwa,Lowassa ataanzia mwanza na kunataarifa wapo wamachinga wameandaliwa na vijana wa ccm kumpokea na kujifanya nao wanahama chadema na kurudisha kadi feki za chadema
Mkakati huo utafanyika kwenye majiji yote tz na baadhi ya miji[/QUOTE
Hayo maigizo ya ccm yanajulikana. Lowasa hakupendwa yeye, lilipendwa koti alilovaa (chadema).
 
Watanzania tujifunze kuachana na siasa za kuwafuata watu kwa nyimbo zao na zawadi zao za dhihaka na za kitoto.

Tusiwe kama bendera na upepo,

Bali tuwachague viongozi kwa sababu wanafaa na wameonesha uthubutu na utayari wa kutuwakilisha kwa mambo tunayoyataka.

Viongozi wengi wanao nyanyasa wananchi ni wale walionunua kula zenu kwa rushwa zinazotolewa kwa njia anuai; mfano

1. vijijini, kuna baadhi ya maeneo yana wanavijiji walafi wa nyama. Wagombea baadhi wamenunua kura zao kwa kuchinja wanyama ili wale wafurahi kisha wakapige kura kuwachagua

2. Kuna baadhi ya maeneo fedha inawanunua watu wenye ushawishi wakatembelee watu kuwapigia kampeni na wakigawa fedha.

Viongozi wa namna hii kamwe hawezi kujali maslahi yenu.

Fedha na nyama ya siku moja kamwe havitomaliza shida zako hata za wiki moja.

Watu amkeni wachagueni watu kwa sababu muna imani watawawakilisha vyema. Wanaupeo wa kuwatetea maslahi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni vita. Na Kwa mazingira ya kitanzania, Kanuni za Mchezo wanaoamua ni wenye Dola tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom