Search results

  1. mbalila

    Natufuta mtaalaam wa ufugaji samaki

    Nahitaji ushauri wa kitaalamu namna ya kuanzisha ufugaji samaki nyumbani asante sanaaa
  2. mbalila

    Nafasi ya kazi ya Maabara

    Anahitanika mtaalamu wa maabara ngazi ya certificate mhahala maelewano kituo cha kazi Kigamboni mawasiliano 0713214258
  3. mbalila

    Anhitajika pharmaceutical assistant na nurse attendant

    Nahitaji nurse attendant kituo Cha kazi Kigamboni na pia nahitaji pharmaceutical assistant kituo Cha kazi Zanzibar
  4. mbalila

    Nahitaji pharma tech mmoja wa certificate Kituo cha kazi Kigamboni

    Anahitajika pharma technician mwenye certificate wa kuuza pharmacy iliyopo Kigamboni. Mshahara ni makubaliano. Mwanyekuhitaji piga simu +255713214258.
  5. mbalila

    Naomba kujua dawa ya kuuwa kichuguu (mchwa)

    Naomba msaada kuna mchwa wamejenga chumbani ambayo inahatarisha uhai wa nyumba ni nyumba ya matofari ya kuchoma Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mbalila

    Natafuta chuo kinachotoa course ya HIV counselling and testing

    Samahani Naomba anayejua chuo kinachotoa certificate ya HIV Counselling and testing anijuze
  7. mbalila

    Samahani hivi mwaka huu matokeo ya kidato cha nne hesabu haina ?

    Kana wanafunzi wana F ya hesabu lakini wana divition II Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mbalila

    Kwanini Kadi za Kieletroniki za Usafiri wa Mwendokasi hazifanyi kazi?

    Mwaka 2016 mwezi wa sita ,UDART mlituhamasisha kununua kadi za machine za mwendokasi za kielectronic, ili kuondoa uchafu wa tiketi za karatasi na msongamano wa watu kwenye madirisha ya kulipia. Na watu tulihamasika tukazinunua na zilikuwa zinatusaidia tunapokuwa tunafanya safari na mabasi yenu...
  9. mbalila

    Anahitajika mtalaam wa maabara na muuza duka la dawa Kigamboni

    1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory technology *nafasi moja* 2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe...
  10. mbalila

    TANGAZO LA KAZI

    1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory technology *nafasi moja* 2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe...
  11. mbalila

    Tangazo la kazi

    Tangazo la kazi Anahitajika pharmacist mwenye degree kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni Mshahara Tsh 1000000/= offer mishahara ya miezi mitatu ya mwanzo kwa mkupuo yaani Tsh 3000000/= Mawasiliano 0713214258 email : paulmapili2@gmail.com
  12. mbalila

    Anahitajika pharmacist mwenye degree haraka

    Anahitajika pharmacist a degree holder wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara maelewano Mawasiliano 0713214258
  13. mbalila

    Pharmacist anahitajika haraka

    Anahitajika pharmacist a degree holder wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara maelewano Mawasiliano 0713214258
  14. mbalila

    Nafasi ya kazi

    Anahitajika pharmacist a degree holder wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara maelewano Mawasiliano 0713214258
  15. mbalila

    Natafuta Pharmacist wa kusimamia pharmacy Kigamboni

    Natafuta pharmacyst mwenye degree wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara kuanzia 1000000/ kwa mwezi asanteni
  16. mbalila

    Nahitaji phamacist wa usimamia phamacy kigamboni

    nahitaji phamacist mwenye degree ,wa kusimamia duka la dawa lililopo Kigamboni mshahara maelewano awe ni mkazi wa Dar es salaam
  17. mbalila

    Office za Fastjet hapa Dar

    Napenda kuuliza zilipo office za fast jet hapa Dar mbali na ile ya airport? Mwenye kujua anijuze tafadhari
  18. mbalila

    kuagiza gari ya 2003 MAZDA BONGO TRUCK

    naomba anayejua nataka kuagiza gari japani ya mwaka 2003 '2003 MAZDA BONGO TRUCK' nitachajiwa kiasi gani pesa ya kodi ya uchakavu?
  19. mbalila

    Bima ya matibabu ya wazee ndiyo suluhisho la matatizo ya matibabu ya wazee hapa nchini

    Ndugu wana JamiiForums, Nimekuwa nikifuatilia jinsi wazee hapa nchini wanavyopata shida wanapokuwa wanafuatilia matibabu katika hospital mbalimbali hasa zile zinazomilikiwa na serikali. Pamoja na kuweka chumba maalumu cha matibabu ya wazee, lakini usumbufu ni mkubwa ,hasa anapokuwa hasa...
  20. mbalila

    Nitawezaje kufanya partition kwenye HDD

    RIVEwana JF NAOMBA ANAYEJUA JINSI KUGAWA HARD DRIVE DISK KUWA MBILI AU TATU LOCAL DRIVE DISK ,NASHUKRU SANA KWA WENYE KUFAHAM WANIELEKEZE ASANTE
Back
Top Bottom