Mimi nahitaji patner, nataka kufungua pharmacy mwenge africa sana...nainvest kila kitu yeye nitampa 35% shares..ila ni jukumu lake ku oversee day to day activities...Tunagawana kila mwezi faida baada ya kulipa cost zote za kulipa wafanyakazi ,rent , umeme, na kurudishia mzigo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.