Anahitajika mtalaam wa maabara na muuza duka la dawa Kigamboni

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
824
160
1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory
technology *nafasi moja*
2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in
Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe amesajiliwa na pharmacy council

Kituo cha kazi ni Kigamboni Dar es salaam
Wawe waminifu

Mawsiliano
0713214258
Email. paulmapili2@gmail.com
Naomba kuwasilisha
 
Mkuu nakutafta tuzungumze kuhusu maabara certificate ninayo kila kitu ninacho mkuu ,
 
1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory
technology *nafasi moja*
2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in
Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe amesajiliwa na pharmacy council

Kituo cha kazi ni Kigamboni Dar es salaam
Wawe waminifu

Mawsiliano
0713214258
Email. paulmapili2@gmail.com
Naomba kuwasilisha
Nashukuru nimeshapata medical laboratory technician
 
Kwa upande wa pharmacy alisajiliwa saiv huwez kumpata labda uweke booking kwa anaetegemea kufanya mtihan wa board mwez wa tano. Waliosajiliwa wameshakua occupied. Ukihitaji anaetegemea kufanya mtihan mwez wa 5 niambie wapo. 0658047048
 
Nimemaliza Course ya PHARMACY DISPENSING SCIENCE mwaka mmoja.

Nina vyeti vyote hitajika
1:Nina cheti kilichotolewa na baraza LA pharmacy Tanzania.

2:Nina Cheti cha matokeo yangu ya Chuo.

3;Nina cheti kilichotolewa na Chuo husika nilichosoma.

naweza kufanya kazi kwenye pharmacy yeyote au ata dispensary yenye sehemu ya dawa .

Jinsia yangu ni ME
Umri wang ni miaka 22.
Location yangu mi Niko DODOMA.

Nb; Naweza kufanya kazi mkoa wowote na sehemu yeyote kijijini ama mjini kama Nahitajika.
 
Back
Top Bottom