Pharmacyst ni nani?sijawahi sikiaNatafuta pharmacyst mwenye degree wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara kuanzia 1000000/ kwa mwezi asanteni
Ni mtu mwenye utaalamu wa dawa za binadamu. Imetokana na neno pharmacy. Anaweza akawa ni muuzaji wa duka la dawa au yupo hospitali kitengo cha madawa.Pharmacyst ni nani?sijawahi sikia
Mtu mwenye diploma na yupo competent enough anaweza apply